Category: Kimataifa

1 42 43 44 45 46 52 440 / 512 POSTS
Majasusi wa Urusi wahusishwa na wizi wa ‘formula’ ya chanjo Uingereza

Majasusi wa Urusi wahusishwa na wizi wa ‘formula’ ya chanjo Uingereza

Vyanzo vya habari vya Uingereza vimekuwa vikieneza uvumi kuwa Urusi imeiba njia (formula) ya kutengeneza chanjo aina ya AstraZeneca na kutengeneza cha [...]
Somalia yashinda mgogoro wa mpaka na Kenya

Somalia yashinda mgogoro wa mpaka na Kenya

Mahakama ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa (ICJ) imetoa hukumu juu ya mgogoro wa bahari kati ya Somalia na Kenya, eneo ambalo linasemekana kuwa na utaj [...]
Chad yapata msamaha wa FIFA

Chad yapata msamaha wa FIFA

Baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuifungia timu ya taifa ya Chad kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingilia ufanyaji kazi wa FIFA kwenye nc [...]
Polisi wakamata bangi ndani ya gereza

Polisi wakamata bangi ndani ya gereza

Bangi zenye thamani ya shilingi milioni 1.8 zimekutwa ndani ya gereza kwenye mji wa Empangeni nchini Afrika Kusini baada ya polisi kufanya msako mkali [...]
Kampeni za uchaguzi zamponza msanii, ajitoa tuzo za AFRIMMA

Kampeni za uchaguzi zamponza msanii, ajitoa tuzo za AFRIMMA

Mwanamuziki Slapdee ametumia ukurasa wake wa Facebook kuomba radhi kwa waandaji wa tuzo za AFRIMMA na kuomba kutolewa kwenye tuzo hizo. Slapdee ame [...]
Nchi maskini deni limeongezeka maradufu – Ripoti ya Benki ya Dunia

Nchi maskini deni limeongezeka maradufu – Ripoti ya Benki ya Dunia

Ripoti ya takwimu za madeni ya mwaka 2022 inayotolewa na Benki ya Dunia inaeleza kuwa madeni ya nchi za kipato cha chini yameongezeka kwa asilimia 12 [...]
Mtanzania Abby Chams kwenye show kubwa ya ‘Kelly Clarkson

Mtanzania Abby Chams kwenye show kubwa ya ‘Kelly Clarkson

Kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani binti wa Kitanzania Abby Chams ambaye ni mwanamuziki amepata nafasi ya kuwakilisha Wasichana wa Ta [...]
Mauzo albam ya  R Kelly yaongezeka

Mauzo albam ya  R Kelly yaongezeka

Mauzo ya albamu  ya R. Kelly yameongezeka kwa asilimia 517%, na uhitaji wa albamu hiyo kwa mwaka 2021 ni milioni 6.4, licha ya Septemba 27 mwanamuziki [...]
TikTok kuanza kutumika kwenye “Smart TV”

TikTok kuanza kutumika kwenye “Smart TV”

Mtandao wa TikTok ambao umekuwa jukwaa la elimu na burudani unaingia katika vitabu vya historia kati ya mitandao ya kijamii yenye ‘app’ ya moja kwa mo [...]
Wilder apasuka mdomo, avunjika Mkono na Kidole

Wilder apasuka mdomo, avunjika Mkono na Kidole

Imeelezwa kuwa, Deontay Wilder, Bondia Mmarekani aliyechezea kichapo katika ardhi ya nyumbani nchini Marekani toka kwa Bondia toka Uingereza Tyson Fur [...]
1 42 43 44 45 46 52 440 / 512 POSTS
error: Content is protected !!