Category: Kimataifa

1 45 46 47 48 49 52 470 / 512 POSTS
Mjue Mtanzania aliyehusika kufichua Skendo ya Pandora

Mjue Mtanzania aliyehusika kufichua Skendo ya Pandora

Pandora ni skendo inayohusisha watu mashuhuri duniani na mtandao mkubwa wa shughuli haramu katika masuala ya fedha na uwekezaji. Skendo hii inahusisha [...]
Fahamu kwanini Facebook, Instagram na Whatsapp zilitoweka hewani

Fahamu kwanini Facebook, Instagram na Whatsapp zilitoweka hewani

Facebook, Instagram na Whatsapp zimerudi tena hewani baada ya kuacha kufanya kazi kwa takribani saa 6 siku ya jana tarehe 4 Oktoba 2021. Facebook w [...]
Zijue sekta 10 za uwekezaji ambazo zitakupa faida kwa haraka

Zijue sekta 10 za uwekezaji ambazo zitakupa faida kwa haraka

Mwaka 2013, Bara la Afrika lilikuwa linaongoza kwa kukua haraka kiuchumi kwa asilimia 5.6%, ambapo ni kiwango cha juu kuliko bara lolote kwa wakati hu [...]
Pandora Leaks: Tambua njia wanazotumia viongozi wakubwa duniani kuiba mali

Pandora Leaks: Tambua njia wanazotumia viongozi wakubwa duniani kuiba mali

Habari iliyopo duniani kwa sasa ni kuhusu 'Pandora Leaks,' ambazo ni nyaraka za siri zaidi ya mafaili milioni 12 ambayo yanaonesha mtandao wa fedha za [...]
Afariki baada ya kulipukiwa na bomu aliloliokota

Afariki baada ya kulipukiwa na bomu aliloliokota

Mtu mmoja mwenye asili ya Ujerumani amefariki dunia nchini Australia baada ya kulipukiwa na bomu ambalo aliliokota ziwani. Mtu huyo mwenye umri wa [...]
Penzi la kweli linavyoitikisa ngome ya kifalme Japani

Penzi la kweli linavyoitikisa ngome ya kifalme Japani

Mako, mpwa wa Mfalme wa Japani Nahurito, amezama kwenye penzi zito la kijana Komuro ambaye ni Mwanasheria. Ndoa ya Mako na Komuro inatarajiwa kufungwa [...]
Mwanafunzi wa chuo Kikuu auawa na aliyekuwa mpenzi wake

Mwanafunzi wa chuo Kikuu auawa na aliyekuwa mpenzi wake

Mvulana mmoja nchini Kenya amemchoma kisu hadi kumuua aliyekuwa mpenzi wake aliyejulikana kwa jina la Mercy ambaye alikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu ch [...]
Kauli ya serikali kuhusu magari ya Tanzania yaliyokwama Malawi

Kauli ya serikali kuhusu magari ya Tanzania yaliyokwama Malawi

Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake nchini Malawi inafuatilia taarifa kuhusu magari ya mizigo ya wasafirishaji wa Tanzania yaliyokwama nchini hu [...]
Fahamu juu ya mtandao kuzimwa leo Duniani

Fahamu juu ya mtandao kuzimwa leo Duniani

Haupaswi kuwa na wasiwasi wa kutokuwa na mtandao wa 'internet' kwenye simu yako au kompyuta yako kuanzia leo Septemba 30, labda kama unatumia kifaa ch [...]
Watoto wafanyiwa majaribio ya chanjo ya UVIKO-19

Watoto wafanyiwa majaribio ya chanjo ya UVIKO-19

Wakati mataifa yote duniani yanaendelea na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO 19) kwa kuhakikisha watu wanaendelea kupatiwa chanjo [...]
1 45 46 47 48 49 52 470 / 512 POSTS
error: Content is protected !!