Category: Kimataifa

1 47 48 49 50 51 52 490 / 512 POSTS
Sudan yazima jarabio la mapinduzi

Sudan yazima jarabio la mapinduzi

Kumetokea jaribio la kuipindua serikali ya Sudan, lakini tayari limezimwa na jitihada za kurejesha hali ya utulivu zinaendelea. Kituo cha Televishe [...]
Rais Samia: Mabadiliko ya tabia ya nchi yanaathiri Watanzania 60%

Rais Samia: Mabadiliko ya tabia ya nchi yanaathiri Watanzania 60%

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoikumba dunia na kusis [...]
Tutarajie nini kwenye mkutano wa 76 wa Baraza la Umoja wa Mataifa?

Tutarajie nini kwenye mkutano wa 76 wa Baraza la Umoja wa Mataifa?

  Mkutano wa 76 wa Umoja wa Mataifa utaanza rasmi Jumanne Septemba 21, 2021 jijini New York (Makao Mkuu wa Umoja wa Mataifa), Marekani. Mkutan [...]
Leo katika historia

Leo katika historia

Siku kama ya leo miaka 190 iliyopita, lilitengenezwa basi la kwanza lililokuwa likitumia nishati ya mvuke. Basi hilo lilikuwa na uwezo wa kubeba abiri [...]
Rais Samia awasili Marekani, apokelewa kwa shangwe

Rais Samia awasili Marekani, apokelewa kwa shangwe

Rais Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Mara baada ya kuwasili jijini New Yo [...]
Leo katika historia

Leo katika historia

Mwaka 1810: Chile ilipata uhuru wake kutoka Hispania iliyoitawala nchi hiyo tangu karne ya 16. Chile ina eneo la kilomita za mraba 4,300 katika mwamba [...]
Yafahamu mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Afrika 

Yafahamu mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi Afrika 

Mtandao wa Global Firepower kupitia utafiti wake umeorodhesha uwezo wa kila jeshi barani Afrika kulingana na idadi ya wanajeshi, uwezo wake wa angani, [...]
Risasi za AK47 zakamatwa ndani ya gari

Risasi za AK47 zakamatwa ndani ya gari

Polisi nchini Kenya wamekamata gari lililotelekezwa kando ya barabara, karibu na kituo cha mafuta katika eneo la Mihango, kaunti ya Nairobi likiwa na [...]
Hizi hapa sifa 13 za iPhone 13

Hizi hapa sifa 13 za iPhone 13

  - Ina umbo jembamba ambalo utafiti unaonesha watu wengi wanapenda simu nyembemba kwa sasa. - Kioo chake kina teknolojia mpya aina ya ‘Cer [...]
Sudan kuingia mkataba wa kijeshi na Urusi

Sudan kuingia mkataba wa kijeshi na Urusi

Balozi mdogo wa Sudan nchini Urusi ameashiria baadhi ya marekebisho katika makubaliano ya kijeshi kati ya nchi yake na Russia. Anwar Ahmed Anwar, b [...]
1 47 48 49 50 51 52 490 / 512 POSTS
error: Content is protected !!