Category: Kimataifa

1 48 49 50 51 52 500 / 512 POSTS
Utalipwa Milioni 3 kutazama filamu za kutisha

Utalipwa Milioni 3 kutazama filamu za kutisha

Inaonekana kuwa kazi ngumu na ya kutisha, lakini ni njia rahisi pia kuingiza fedha. Kampuni ya FinanceBuzz huko nchini Marekani inatafuta mtu ambay [...]
Wanasiasa wapigwa marufuku kuongea makanisani

Wanasiasa wapigwa marufuku kuongea makanisani

Askofu wa Mkuu wa Kanisa la Kianglikana nchini Kenya Jackson Ole Sapit amepiga marufuku wanasiasa kuongea katika madhabahu ya kanisa hilo kote nchini [...]
Tanzania yarejesha magari 20 yaliyoibwa Kenya

Tanzania yarejesha magari 20 yaliyoibwa Kenya

Mkuu wa Wilaya ya Loitokitok nchini Kenya, Wesley Koech ameishukuru na kuipongeza serikali ya Tanzania kufanikisha kukamata na kurejesha magari 20 na [...]
Matukio 10 makubwa zaidi ya kigaidi duniani

Matukio 10 makubwa zaidi ya kigaidi duniani

  Katika kuadhimisha tukio la Septemba 11, 2001 lilitokea nchini Marekani miaka 20 iliyopita na kusababisha vifo takribani 3000, ni vyema tuka [...]
Sababu ya Marekani kumzika Osama Bin Laden chini ya bahari.

Sababu ya Marekani kumzika Osama Bin Laden chini ya bahari.

Mei 2, 2011 kikosi maalumu cha Jeshi la Marekani kilimuua Osama Bin Laden, kinara nyuma ya mashambulizi ya tukio la Septemba 11 katika ardhi ya Mareka [...]
Kampuni 5 bora za Smartphone duniani

Kampuni 5 bora za Smartphone duniani

1. SamsungSamsung ni kampuni ya kielektroniki ya kimataifa yenye makao yake Korea Kusini ambayo pia ni kampuni kubwa zaidi ulimwenguni ya utengeneza [...]
Guinea yatolewa ECOWAS baada ya mapinduzi

Guinea yatolewa ECOWAS baada ya mapinduzi

Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeitenga nchi ya Guinea baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika ndani ya taifa hilo. [...]
Matumaini ya DRC kujiunga EAC yaongezeka

Matumaini ya DRC kujiunga EAC yaongezeka

  Maombi ya DRC kujiunga katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambayo yalitumaa kwa mara ya kwanza mwaka 2019, yapo katika hatua nzuri.Bara [...]
Taliban yaunda serikali ya mpito

Taliban yaunda serikali ya mpito

Kikosi cha Taliban kimetangaza kuunda serikali ya mpito nchini Afghanistani ambapo wameweka bayana kuwa serikali hiyo itaongozwa na moja ya viongozi w [...]
Taliban yatangaza kulitwaa bonde la Panjshir

Taliban yatangaza kulitwaa bonde la Panjshir

Kundi la Taliban limesema kwamba limelitwaa bonde la Panjshir, ikiwa ni hatua za kuimarisha utawala wao nchini Afghanistan. Eneo hilo linakaliwa na [...]
1 48 49 50 51 52 500 / 512 POSTS
error: Content is protected !!