Category: Kimataifa

1 49 50 51 52 510 / 511 POSTS
Wafahamu Marais 5 wa Afrika waliouawa wakiwa madarakani

Wafahamu Marais 5 wa Afrika waliouawa wakiwa madarakani

Matukio ya kuuawa kwa viongozi wa juu wa nchi duniani yamekuwa yakipingua kasi katika miongo ya hivi karibuni, lakini hata kwa uchache wake bado yanat [...]
Ajifanya Makamu wa Rais na kutibiwa bure

Ajifanya Makamu wa Rais na kutibiwa bure

Hii nayo kali : jamaa mmoja kafika zake hospitali, akajitambulisha kama Makamu Rais, akapewa heshima zote na kupatiwa matibabu bure kabisa. Imetoke [...]
Serikali kuongeza mapato kupitia Facebook, Twitter na Google

Serikali kuongeza mapato kupitia Facebook, Twitter na Google

Hivi karibuni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba alisema kuwa Serikali ya Tanzania inatafuta namna ya kuyabana makampuni makubwa ya mita [...]
Vita kati ya Taliban na Pashnjir yanukia Afghanistan

Vita kati ya Taliban na Pashnjir yanukia Afghanistan

Taliban tayari wamejihakikishia rasmi taifa la Afghanistan liko chini yao hivyo mipango na kila kitu ndani ya taifa hilo itatokana na matwakwa yao. Wa [...]
Chanjo za J&J zilizopelekwa Ulaya kurejeshwa Afrika

Chanjo za J&J zilizopelekwa Ulaya kurejeshwa Afrika

Umoja wa Ulaya (EU) unakusudia kurejesha barani Afrika mamilioni ya chanjo ya Johnson & Johnson zilizotengenzwa nchini Afrika Kusini ambazo hupelekwa [...]
Mama apambana na Simba kumuokoa mwanae.

Mama apambana na Simba kumuokoa mwanae.

Mwanamke mmoja amnusuru mwanae wa miaka mitano kuwa mlo wa Simba huko California nchini Marekani. Mtoto wa miaka mitano alishambuliwa na Simba wa m [...]
Sheria ya Mahari Kongo, vicheko kwa wanaume.

Sheria ya Mahari Kongo, vicheko kwa wanaume.

  Hatua ya kutaka kurekebisha sheria ya mahari pamoja na ndoa za mitala ya mwaka 1987 nchini DRC imezua gumzo kubwa kwa watu wa Jamhuri ya Con [...]
Hatma ya Tanzania baada ya kufungwa ubalozi wa Denmark

Hatma ya Tanzania baada ya kufungwa ubalozi wa Denmark

Karibuni serikali ya Denmark imetangaza kuwa itafunga ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo mwaka 2024. Serikali ya Tanzania kupita Waziri wa Mambo [...]
Mwenye asili ya Scotland ateuliwa kuongoza jeshi Zambia

Mwenye asili ya Scotland ateuliwa kuongoza jeshi Zambia

Rais (mpya) wa Zambia, Hakainde Hichilema ameteua wakuu wapya wa kamandi za jeshi na kuwabadilisha makamishna wote wa polisi ikiwa ni mkakati wa kusuk [...]
Utata watanda ripoti mpya juu ya chanzo cha UVIKO-19

Utata watanda ripoti mpya juu ya chanzo cha UVIKO-19

Idara za usalama nchini Marekani zimeonekana kushindwa kueleza kuhusu chanzo halisi cha UVIKO-19 na kuachia ripoti yenye mkanganyiko kueleza makisio j [...]
1 49 50 51 52 510 / 511 POSTS
error: Content is protected !!