Category: Kitaifa
Shaka ajibu mapigo ya NCCR-Mageuzi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amejibu tuhuma zilizotolewa na mwanasiasa Joseph Selasini kwamba Chama cha Map [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 28, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Mbunge Mwambe avuta jiko bungeni
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Azzan Zungu amewapongeza wabunge wawili, Cecil Mwambe (Mbunge wa Ndanda) na Rose Tweve (Mbunge wa Viti Maalum - Irin [...]
Serikali yaongeza posho za safari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuupiga mwingi kwa kutoa kibali cha kurekebisha posho ya kujikimu ya safar [...]
AC na Wi-Fi ndani ya mwendokasi mpya
Serikali imesema kuwa ina mpango wa kuweka huduma ya intaneti (Wi-Fi) na viyoyozi katika mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) kwa lengo la kukuza ushin [...]
Mapendekezo ya Wanangorongoro
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea mapendekezo ya wananchi wa Tarafa za Loliondo, Ngorongoro na Sale kuhusu namna bora ya kulinda uhifadhi wa maeneo [...]
Mshindi wa ‘Nobel Prize’ arejea Zanzibar
Mshindi wa Tuzo ya Fasihi ya Nobel 2021 Prof. Abdulrazak Gurnah ameitikia wito wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein M [...]
Kikokotoo kipya Julai Mosi
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu ametangaza rasmi kanuni mpya ya Mafao ya Pensheni kufuatia [...]
Vijana 100 wapewa mtaji wa nguruwe
Vijana 100 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamepewa msaada wa nguruwe 100 na halmashauri hiyo ikishirikiana na mradi wa Youth Ag [...]
Ashikiliwa kwa kubaka watoto watatu
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia kijana mmoja mkazi wa Nshambya, Bukoba kwa tuhuma ya kuwabaka watoto watatu wa darasa la tatu na nne, weny [...]