Category: Kitaifa
Bobi Wine: Katiba sio mwarubaini
Msanii na mwanasiasa wa Upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, ameutaka uongozi wa CHADEMA kuwekeza nguvu katika kukuza vij [...]
Harmonize na sigara za Tembo
Msanii na Mmiliki wa lebo ya Muziki ya Konde Gang, Harmonize ametangaza nia yake ya kutaka kuanza kufanya biashara ya kutengeneza na kuuza sigara zake [...]
Warithi wa kina Mdee
Leo jijini Dar es Salaam, Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaketi kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali yahusuyo chama h [...]
Mishahara mipya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepokea taarifa ya mapendekezo ya ongezeko la mishahara ya watumishi kutoka kwa timu ya wataalamu iliyokuwa ikiyaandaa kw [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 11, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Biashara Tanzania-Uganda kuimarika
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kwa pamoja wameagiza watendaji wao kuhakikisha wanaondoa vikwazo vya kib [...]
Wimbo wa taifa kufanyiwa marekebisho
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yakubu Said, Mei 10, 2022 Dodoma amekutana na wataalamu wa Ala za Muziki wakiongozwa na M [...]
Ishara kuwa uliwahi kupata UVIKO-19
Wimbi la ugonjwa wa UVIKO-19 limeathiri wengi duniani huku wengine wakionesha ishara za wazi za ugonjwa huo na wengine kutoonesha ishara zozote kabisa [...]
Makamba atoa majibu kamili bei ya mafuta
Waziri wa Nishati, January Makamba ametoa majibu kuhusu bei ya mafuta nchini kama ambavyo bunge lilimuagiza juma lililopita kuja na majibu ya hatua zi [...]
Rekodi mpya yavunjwa Bandari ya Dar
Ni mwezi mmoja umepita tangu Bandari ya Dar es Salaam kuvunja rekodi ya kupokea meli kubwa yenye magari 4,041, jana rekodi mpya imevunjwa baada ya mel [...]