Category: Kitaifa
Lugha gongano shuleni ipatiwe ufumbuzi
Wabunge wa Tanzania wameeleza maeneo mbalimbali yanayohitaji maboresho kwenye sekta ya elimu nchini ikiwemo lugha itumikayo kufundishia elimu ya msing [...]
Panya Road wasimulia wanavyoiba
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeendelea kuisimamia operesheni maalum kali na msako wa mtaa kwa mtaa dhidi ya vijana wanaojihusisha n [...]
Hali ya Corona nchini
Wizara ya Afya inaendelea kutoa taarifa kwa umma kuhusu hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini. Itakumbukwa kuwa ugonjwa huu ulitolewa taarifa kwa mara ya [...]
Bashungwa: “Nakupa miezi mitatu”
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amempa miezi mitatu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musom [...]
WAKAZI: Wakristo tuache unafki
Msanii wa Hip Hop kutoka nchini Tanzania, Wakazi ameonyesha kusikitishwa na kitendo cha TCRA kuifungia video ya wimbo wa 'Mtasubiri" ya Diamond na Zuc [...]
Nauli mpya kutumika rasmi
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini(LATRA) Johansen Kahatano amesema kulingana na hali halisi ya upandaji wa bei za mafuta, bei mpya za nauli [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 7, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
TCRA waifungia video ya ‘Mtasubiri”
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu ya "Mtasubiri sana' baada ya kupata taarifa kutoka Ba [...]
Sabaya aachiwa
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzie wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga adhabu ya miaka 30 jela na kuachiwa huru.
M [...]
Bunge lampa Makamba siku 6
Wabunge wameitaka serikali kuja na mkakati wa dharura wa kunusuru kupanda kwa bei ya mafuta, huku wengine wao wakitaka kupunguzwa kwa baadhi ya tozo k [...]