Category: Kitaifa
Mtanzania ‘Geay’ aweka rekodi Boston Marathon
Mwanariadha Gabriel Geay, anayeiwakilisha vyema Tanzania katika mashindano ya mbio kitaifa ameshika nafasi ya nne katika mbio za Boston Marathon ziliz [...]
Aliyemchinja mtoto auawa
Mzee mmoja mkazi wa Siha, Kilimanjaro amepigwa hadi kufa na wananchi wenye hasira kali baada ya kubainika kumchinjwa mtoto wa miaka miwili kijiji cha [...]
Air Tanzania yatoa tamko
Shirika la ndege la Tanzania limekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa limesitisha safari zake kuelekea uwanja wa ndege wa Chato, Geita sababu [...]
Zainab ammwagia mtu uji Zanzibar
Mkazi wa Mtaa wa Zanzibar, Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Adamu Mohammed ameliomba Jeshi la Polisi limkamate mama mzazi wa mkewe, Zainab Ally kwa ma [...]
Aliyekuwa Meya wa Moshi ang’oa misaada yake
Juma Raibu aliyekuwa Meya Mstahiki wa Manispaa ya Moshi ambaye hivi karibuni aling’olewa wadhifa huo ameamua kwenda kung’oa misaada aliyowahi kuitoa k [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 18, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Bodaboda ajinyonga kwa mkanda
Idrisa Salum Milundiko (24), mkazi wa Kitongoji cha Kasokola Mashariki B wilayani Mpanda, Mkoa wa Katavi anayejihusisha na uendeshaji wa bodaboda, ame [...]
Wizara ya afya yatoa nafasi 1,621 za kazi
Wizara ya Afya kupitia kibali cha Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora chenye Kumb. Na. FA.97/128/01/”B”/40 cha tarehe 01 Aprili, 20 [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 16, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]