Category: Kitaifa
Viwango vya kubadili fedha Aprili 07, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Maambukizi ya Ukimwi yaongezeka
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi imewataka wahusika wote wa utoaji elimu na zana za kupambana na maambukizi na ueneaji wa kasi wa Ukimwi [...]
Ajira 32, 000 kutangazwa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema hivi karibuni serikali itatangaza ajira 32,000 kwa sekta zenye uhaba [...]
Waliopandikizwa mimba wajifungua
Wanawake watano kati ya tisa waliopandikizwa mimba kwa njia ya 'IVF' na 'artificial insemination' jijini Arusha wajifungua salama.
IVF ni njia ya [...]
Mambo sita ya kufanya kabla ya miaka 30
'Siku hazigandi', msemo wenye ukweli usiofichika aliowahi kuimba Lady Jaydee. Bila kujipanga siku, mwezi na mwaka vitaisha ukiwa unazidi kuongeza miak [...]
Majaliwa: bei zishuke
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa muhimu kutopandisha bei za vitu kiholela bila utaratibu na hatua kali k [...]
Mkurugenzi Mange App kizimbani
Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu [...]
Musukuma ajiuzulu
Mbunge wa Geita Vijijini ambaye pia ni Balozi wa Mazingira anayewakilisha Bunge, Joseph Kasheku (Musukuma) amejiuzulu ubalozi wa mazingira kufuatia ri [...]
JJ Mungai wafurahia madarasa ya Samia
Walimu, wazazi na wanafunzi wa Shule ya Sekondari JJ Mungai iliyopo halmashauri ya Mjini wa Mafinga wameeleza furaha yao kwa ujenzi wa madarasa uliofa [...]