Category: Kitaifa
Fursa za kibiashara Magomeni Kota
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nyumba 644 za Magomeni Kota leo Machi 23, 2022 na kuainisha fursa kadha wa kadha za kibiashara katika makazi hayo.
[...]
Rais Samia : Mpikie gesi
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua nyumba 644 za Magomeni , Dar es Salaam ambazo ujenzi wake umegharimu TZS [...]
Wazazi wachochea binti kujinyonga kisa mapenzi
Binti mmoja mkaaji wa Kaskazini Unguja, Zanzibar amefariki baada ya kujinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake mchana wa Machi 16.
Kamanda wa Po [...]
Wanaohifadhi wahamiaji haramu waonywa, ‘Sakasaka’ yaanza
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala amewaonya Watanzania wanaowatumia wahamiaji haramu kama chanzo cha kipato kuacha mara moja [...]
Faida za kibiashara kati ya Tanzania na Qatar
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani ambapo wamekuba [...]
Neema vituo vya afya Ludewa
Halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe ni miongoni mwa halmashauri zilizopokea fedha kiasi cha shilingi milioni 250 kwa ajili ya kujenga jengo [...]
Mtoto alawiti wenzake 19
Mtoto mwenye umri wa miaka 14 (Jina linahifadhiwa) mkazi wa Manispaa ya Iringa, anashikiliwa na Polisi kwa madai ya kuwalawiti watoto wenzake 19 kwa n [...]
Tahadhari kirusi kipya
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali inafuatilia uwapo wa aina mpya ya kirusi cha UVIKO-19 kilichothibitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO [...]
Faru Rajabu afariki
Shirika la Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa taarifa kuhusu kifo cha Faru Rabaju aliyefariki usiku wa kuamkia leo Machi 21, 2022 akiwa na mia [...]
Pastor Myamba apata ajali
Emmanuel Myamba maarufu kama Pastor Myamba ametoa taarifa ya kupatwa na ajali mbaya yeye pamoja na familia yake wakati wakielekea kwenye ibada.
Ame [...]