Category: Kitaifa
Wagonjwa wa Presha hatarini kupata matatizo mfumo wa fahamu
Watafiti kutokea nchini Tanzania wamebaini wagonjwa wanaougua shinikizo la damu (blood pressure) la muda mrefu wapo hatarini kupata mabadiliko ya mfum [...]
Majina ya Watumishi waliopata vibali vya uhamisho kwa kubadilishana vituo vya kazi
Majina ya Watumishi waliopata vibali vya uhamisho kwa kubadilishana vituo vya kazi Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe ameridhia k [...]
Wamachinga wakaidi kukiona
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amesema wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga wanaokaidi agizo la kutofanya biasha [...]
Huduma kwa wateja TANESCO kutolewa kidigitali
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limegeukia fursa kuboresha ufanisi kwa kutumia digitali, baada ya kusaini mkataba na Kampuni ya Tech Mahindra kwa [...]
Mabasi 41 yafungiwa kusafirisha abiria mikoani
Jana Novemba 8, magari 41 yalizuiliwa kusafirisha abiria kutokana na hitilafu zilizobainika katika magari hayo kufuatia ukaguzi uliofanyika kwa takrib [...]
Mwenyekiti wa Kitongoji aua mkewe na kujinyonga
Mwenyekiti wa Kitongoji cha Urua chini kijiji cha Mfuruashe wilayani Rombo, Augustine Moshi mwenye umri wa miaka 35 amemuua mkewe Anastazia Augustin [...]
Uteuzi kutoka Chama cha Mapinduzi
Chama cha Mapinduzi CCM kimefanya uteuzi wa Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Chama hicho leo tarehe 08 Novemba 2021. Taarifa iliyotolewa na CCM imeeleza [...]
Pesa za ujenzi zaanza kuwa za moto, Afisa manunuzi atumbuliwa
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema amemsimamisha kazi kwa kipindi cha miezi miwili Afisa manunuzi wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga anaejulik [...]
Mwanafunzi bora kitaifa darasa la saba kupewa ufadhili wa masomo
Aliyeibuka kuwa Mwanafunzi bora kitaifa kwenye matokeo ya darasa la saba, Eluleki Haule ambaye alisoma shule ya St Anne Marie Academy ameahidiwa kuso [...]
Watoto wa Ibilisi 117 wanaswa Tanga
Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Sophia Jongo amesema Jeshi la Polisi mkoani Tanga limewakamata watoto 117 wanaojiita watoto wa ibilisi wanaotuhumiwa k [...]