Category: Kitaifa
Tamko la familia ya Mtanzania aliyeuawa Marekani
Familia ya kijana Mtanzania Humphrey Magwira (20) aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Ramon Vasquez (19) nchini Marekani imesema kwamba kijana wao hakusta [...]
Ushirikiano Tanzania na Burundi sekta Kilimo wazidi kuimarika
Serikali ya Tanzania imeendelea na juhudi zake za kuimarisha ushirikiano na nchi jirani ikiwemo Burundi ambapo pamoja na mambo mengine imekusudia kuim [...]
Upinzani wamkubali Rais Samia
Doyo Hassani Doyo ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance Democratic Change Tifa (CDC), amesema Rais Samia Suluhu ni kiongozi shupavu , mvumilivu [...]
Hii ndio mitaa 4 iliyotengwa kwa machinga wa Kariakoo
Uongozi wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga, umetenga mitaa minne katika eneo hilo ambayo itatumika maalum kwa ajili ya shughuli za wajasi [...]
Wasifu wa Jaji Kiongozi, Mustapha Siyani aliyejitoa leo kesi ya Mbowe
Jaji Kiongozi Mustapha Siyani leo amekuwa jaji wa pili kujitoa katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenz [...]
Mbivu na mbichi kesi ya kina Mbowe kujulikana leo
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi in [...]
Majina ya vijana waliopata ajira Jeshi la Polisi Tanzania
Hivi karibuni Jeshi la Polisi Tanzania lilitangaza nafasi za ajira na baada ya usaili, limetoa majina ya wale wote waliopata nafasi. Hapa chini ni oro [...]
Vurugu za Machinga Kariakoo, Mkuu wa Mkoa DSM atoa neno
Video mbalimbali zimekuwa zikisambaa katika mitandao ya kijamii zikionesha vurugu katika eneo la Kariakoo kati ya Jeshi la Polisi na wafanyabiashara w [...]
Wasira awashangaa wanaodai Katiba mpya sasa
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bunda, mkoani Mara na Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira akizungumza kwenye kipindi cha medani za siasa kinachorus [...]
Madhara ya kutumia simu bila kunawa mikono
Mfamasia Erick Venant amesema simu za mkononi zimetajwa kuwa ni hatari katika kusambaza na kuhifadhi vijidudu vya magonjwa ya kuambukiza kama zitashik [...]