Category: Kitaifa
Wanakijiji wapiga mawe gari la Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela ameagiza kukamatwa baadhi ya wanakijiji cha Engaroji kuwa kupiga mawe gari ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli.
Wanak [...]
Zaidi ya Bilioni 100 kwa ajili ya Postikodi
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji amesema serikali chini ya Raisi Samia Suluhu Hassan imetenga zaidi ya shiling [...]
Matukio makubwa 10 yaliyotikisa Septemba 2021 nchini Tanzania
Siku 30 za Septemba zimemalizika usiku wa kuamkoa leo. Katika saa 720 za mwezi huo, matukio mengi yametokea nchini kuanzia kwenye siasa, michezo hadi [...]
Kauli ya serikali kuhusu magari ya Tanzania yaliyokwama Malawi
Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake nchini Malawi inafuatilia taarifa kuhusu magari ya mizigo ya wasafirishaji wa Tanzania yaliyokwama nchini hu [...]
Fahamu juu ya mtandao kuzimwa leo Duniani
Haupaswi kuwa na wasiwasi wa kutokuwa na mtandao wa 'internet' kwenye simu yako au kompyuta yako kuanzia leo Septemba 30, labda kama unatumia kifaa ch [...]
Askofu Bagonza na nadharia ya Dhuluma
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt Benson Bagonza ametoa maoni kuhusu mchango wa dini katika ujenzi wa [...]
Maagizo manne ya Rais Samia kwa mashirika yasiyo ya kiserikali
Katika mkutano wa mashirika yasiyo ya kiserikali uliofanyika leo Dodoma ambapo Rais Samia Suluhu Hassan amehudhuria kama mgeni rasmi, ambapo pamoja na [...]
Hii ndiyo sababu ya kupanda kwa bei ya nyama
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameeleza sababu ya nyama kupanda kwa bei katika maeneo mbalimbali nchini ni kutokana na upungufu wa upatikan [...]
Dereva aeleza alichomwambia Ole Nasha kabla hajafariki
Fikiri Madinda, dereva wa aliyekuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Tate Ole Nasha ambaye alifariki Dunia Septemba 27 mwaka hu [...]