Category: Kitaifa

1 197 198 199 200 201 208 1990 / 2072 POSTS
Serikali yasitisha ununuzi wa mahindi Songea

Serikali yasitisha ununuzi wa mahindi Songea

Serikali imesitisha ununuzi mahindi katika Kituo Kikuu cha Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Kanda ya Songea kilichopo Ruhuwiko mkoani Ruv [...]
Rais Samia: Tutafungua mikono kwa wote watakaotuunga mkono

Rais Samia: Tutafungua mikono kwa wote watakaotuunga mkono

Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza ushirikiano wa kimataifa kukabili changamoto likiwemo janga la UVIKO-19, uchumi na mabadiliko ya tabia ya nchi. [...]
Marais wa Tanzania waliowahi kutoa hotuba Baraza la Umoja wa Mataifa (UN)

Marais wa Tanzania waliowahi kutoa hotuba Baraza la Umoja wa Mataifa (UN)

1. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1961 - 1985) Mwalimu Julius Nyerere ameshiriki mara tano katika Mkutano wa Baraza la Umoja wa Mataifa lakini a [...]
Rekodi ya Rais Samia Umoja wa Mataifa

Rekodi ya Rais Samia Umoja wa Mataifa

Rais Samia Hassan Suluhu leo Septemba 23, 2021 atahutubia mkutano wa 76 wa Baraza la Umoja jiijini New York, Marekani. Historia inaonesha kuwa Tanz [...]
Kesi ya Mbowe yatupiliwa mbali

Kesi ya Mbowe yatupiliwa mbali

Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aliyekuwa akipinga namna alivyokamatwa, kuwekwa ki [...]
Rais Samia ahimiza kuimarishwa biashara kati ya Tanzania na Marekani

Rais Samia ahimiza kuimarishwa biashara kati ya Tanzania na Marekani

Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza na kuwaeleza wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani kuimarishwa ushirikiano wa kibiashara kati ya mataifa hayo m [...]
Achoma nyumba moto kisa mapenzi

Achoma nyumba moto kisa mapenzi

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Kida, mkazi wa jijini Tanga, anadaiwa kuchoma moto nyumba ya mama mzazi wa mpenzi wake. Tukio hilo lime [...]
Trilioni 1 zapatikana soko la madini Geita

Trilioni 1 zapatikana soko la madini Geita

Soko kuu la dhahabu mjini Geita limeingiza jumla ya shilingi trilioni 1.1 tangu kuanzishwa kwake mwa 2018. Akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi [...]
Bajaji iliyonunuliwa na Magufuli yaibwa

Bajaji iliyonunuliwa na Magufuli yaibwa

Juni 19, 2020, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt John Pombe Magufuli, alimsaidia mwanamke mwenye ulemavu wa miguu kupata b [...]
Daraja jipya la Tanzanite kuanza kutumika Desemba 2021

Daraja jipya la Tanzanite kuanza kutumika Desemba 2021

Mradi wa ujenzi wa Daraja la Tanzanite mkoani Dar es Salaam unaosimamiwa na serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), umefikia asilimia [...]
1 197 198 199 200 201 208 1990 / 2072 POSTS
error: Content is protected !!