Category: Kitaifa
Rais Samia: Tunakwenda kuandika historia Kigoma
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mkoa wa Kigoma leo unaandika historia kwa kuzimwa kwa majenereta yaliyokuwa yakizalisha umeme na sasa unaunganishwa k [...]
Wito wa Rais Samia kwa wananchi wa Kakonko
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuhakikisha wanatunza miundombinu ya afya inayojengwa na serikali ili [...]
GEITA: Vijiji 353 vina umeme, 133 mbioni kufikiwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua kituo cha kupokea, kupooza umeme cha Mpomvu kilichopo Mkoa wa Geita.
Aki [...]
Jeshi la Polisi laanza kuichunguza Kalynda
Jeshi la Polisi limeanza kuchunguza tuhuma za utapeli kwa njia ya mtandao dhidi ya kampuni ya Kalynda e-Commerce.
Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP D [...]
Rais Samia ataka viongozi wasimamie fedha za miradi ya maendeleo
Rais Samia amewataka viongozi na watendaji wahakikishe wanasimamia matumizi sahihi ya fedha zinazoelekezwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
[...]
Rais Samia awapa maagizo mazito kwa TAKUKURU na ZAECA
Rais Samia Suluhu Hassan ameziagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzib [...]
Tanzania yapongezwa na Benki ya Dunia
Benki ya Dunia, imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, inayopata fedha kutoka kwenye [...]
TRA yatoa ufafanuzi tuhuma za Mama Kibonge
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kwa umma kuhusu tuhuma zilizokuwa zikitolewa kwenye mtandao wa 'twitter' kuwa ilikua inakusanya kodi [...]
Rais Samia anavyomuenzi Mwalimu Nyerere
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kumuenzi baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Serikali itaendeleza mapambano dhidi ya ujinga, maradhi [...]
Wanyama kufungwa redio
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana, leo Oktoba 13, 2022, amezindua ufungaji wa redio za mawasiliano kwa wanyamapori katika Hifadhi ya Taifa [...]