Category: Kitaifa
Oman kuitangaza Tanzania
Tanzania na Oman zimeweka mikakati ya ushirikiano katika sekta ya maasiliano, habari na teknolojia.
Mikakati hiyo iliwekwa juzi wakati Waziri wa Ha [...]
Fidia kulipwa kwa wakazi wa Bonde la Msimbazi
Zaidi ya wananchi 11,000 wanatarajiwa kulipwa fidia Januari mwakani kupisha ujenzi wa daraja la juu la kisasa la Jangwani na uendelezaji wa Bonde la M [...]
Rais Samia ampa miezi mitatu Waziri Aweso
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa miezi mitatu kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akamilishe mradi wa maji unojengwa kwa Sh bilioni 1.7 wilayani Monduli.
[...]
Bei elekezi vifurushi vya simu
Serikali imeagiza watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi wasibadili bei ya vifurushi vya simu hadi serikali itapotoa bei elekezi Januari mwaka [...]
Utendaji kazi wa Rais Samia wamkosha Sumaye
Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, anafanya mambo makubwa kwa taifa na faida yake itaonekana miaka ya hivi karib [...]
Mapya yaibuka ajali ya ndege ya Precision Air
Ripoti ya awali ya ajali ya ndege ya Precision iliyotokea eneo la Ziwa Victoria imeonyesha kwamba mfanyakazi mmoja wa ndege hiyo akishirikiana na abir [...]
76% ya Watanzania hawapigi mswaki
Asilimi 76.5 ya Watu wazima Tanzania wameoza meno kutokana na kutopiga mswaki.
Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dk Barak [...]
EU yaipatia Tanzania Bil.34 kufikisha umeme vijijini
Dhamira ya serikali ya Awamu ya Sita ya kuhakikisha umeme unafika mpaka vijijini kwa namna yoyote inaenda kutimia, baada ya Wakala wa Nishati Vijijini [...]
Rais Samia atoa milioni 70 kuisaidia Doris Mollel Foundation
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia Tsh. Milioni 70 kwa Doris Mollel Foundation, ambapo Tsh. Milioni 20 ameitoa kuw [...]
Rushwa chanzo cha chaguzi CCM kufutwa na kusimamishwa
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefuta na kusitisha baadhi ya Chaguzi ngazi ya Mikoa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo rush [...]