Category: Kitaifa
Fahamu kuhusu mlipuko wa surua nchini
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa surua katika halmashauri saba huku watu 54 wakiwa wemethibitika kukumbwa na maradhi h [...]
Makalla: Ukimkosa mwanao nenda polisi au hospitali
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema Mzazi mwenye mtoto Panya Road kuanzia jana Septemba 15, 2022 asipomuona nyumbani asihangaike akamta [...]
TFF yapitisha usajili wa Kisinda Yanga
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
[...]
Makala ya Rais Samia Siku ya Demokrasia
Ifuatayo ni makala iliyoandikwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu siku ya Demokrasia Duniani.
[...]
Askari 300 kuwasaka Panya Road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wametoa askari 300, kwa ajili ya kuendesha opereseheni ya kuwakamata Panya Road, ambao wamekuwa wa [...]
Busara yatumika kupunguza faini ya Manara
Kamati ya rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF leo imetangaza kumpunguzia adhabu Msemaji wa Yanga Haji Manara kutoa milioni 20 ya faini aliyotaki [...]
Ajali Mbeya yaua DED wa Igunga
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Fatuma Latu amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari katika eneo la Inyala, [...]
Ziara ya Rais Samia Marekani yajibu
Ubalozi wa Marekani nchini umesema ujumbe wa kampuni 19 kubwa za uwekezaji nchini Marekani utafanya ziara Tanzania kuona fursa za biashara na uwekezaj [...]
Dkt. Mapango azindua stendi ya mabasi Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango jana tarehe 13 Septemba 2022 amezindua rasmi stendi ya mabasi na maege [...]
Mikoa 18 kukosa umeme leo Septemba 13
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kuhusu kukosekana kwa umeme katika mikoa 18 nchini.
[...]