Category: Kitaifa
Mikoa inayoongoza kwa matumizi ya simu Tanzania
Kama ulikuwa hujui mikoa inayoongoza kwa watumiaji wengi wa simu za mkononi, basi Dar es Salaam inashika namba moja katika orodha ya mikoa 10 yenye wa [...]
Sababu za MV. Magogoni kukwama
Taarifa kutoka kwa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) imeeleza sababu ya kivuko cha MV Magogoni kukwamba na namna walivyokinasua.
[...]
Mkurugenzi Mkuu ZAECA ajiuzulu
Siku tano baada ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kuitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca) kujitathmini, Mkurugenzi Mkuu wa [...]
Mikakati ya kuinusuru NHIF
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Serikali itachukua hatua mbalimbali ikiwemo kutibu mapema magonjwa yasiyoambukiza ili kuunusuru Mfuko wa Taifa wa [...]
Ufafanuzi kuhusu tozo
Hatimaye baada ya kuwepo kwa malalamiko ya wananchi kuhusiana na tozo za miamala ya simu zilizoanza kutozwa na Serikali Julai Mosi mwaka huu, Serikali [...]
TCRA yatoa onyo kwa vyombo vya utangazaji
Kamati ya maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa tahadhari kwa vyombo vya Utangazaji nchini kuzingatia urushaji wa maudhui yenye kuz [...]
P square jela maisha kwa kumbaka mtoto Coco Beach
Mahakama ya Wilaya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imemhukumu Dunia Suleman (36) maarufu kama P square, kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya ku [...]
Bashungwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Muheza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muh [...]
Rais Samia alipa makavu Jeshi la Polisi
Ni juzi tu tangu alipotoa maagizo ya kurekebisha utendaji wa Jeshi la Magereza nchini, Rais Samia Suluhu Hassan jana ameligeukia Jeshi la Polisi na [...]
Hii hairuhusiwi
Taarifa kwa Umma kutoka Wizara ya Maliasili
JAMBO HILI HALIRUHUSIWI NDANI YA HIFADHI ZETU!
Jambo hili tunaweza kulifurahia lakini ni hatari na H [...]