Category: Kitaifa
Rais Samia amteua Prof. Janabi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkuruge [...]
Rais Samia afanya uteuzi TIB
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:
Amemteua Bw. Sosthenes Laurent Kewe kuwa Mwenyeki [...]
Rais Samia apongezwa na TUCTA kufanyia kazi vikokotoo
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu cha asilimia 33 kimelenga kumkomboa mtumishi wa u [...]
Baada ya miaka 22 serikali yawalipa fidia
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA), imewakabidhi fedha ya fidia wananchi wapatao 50, waliokuwa wanaidai mamlaka hiyo kutokana [...]
Rais Samia alivyookoa fedha za sensa
Kamisaa Mkuu wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema msimamo wa Rais Samia Suluhu umeokoa fedha nyingi ambazo zingeweza kutumika kughar [...]
Fahamu kuhusu mlipuko wa surua nchini
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa surua katika halmashauri saba huku watu 54 wakiwa wemethibitika kukumbwa na maradhi h [...]
Makalla: Ukimkosa mwanao nenda polisi au hospitali
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amesema Mzazi mwenye mtoto Panya Road kuanzia jana Septemba 15, 2022 asipomuona nyumbani asihangaike akamta [...]
TFF yapitisha usajili wa Kisinda Yanga
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
[...]
Makala ya Rais Samia Siku ya Demokrasia
Ifuatayo ni makala iliyoandikwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu siku ya Demokrasia Duniani.
[...]
Askari 300 kuwasaka Panya Road
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema wametoa askari 300, kwa ajili ya kuendesha opereseheni ya kuwakamata Panya Road, ambao wamekuwa wa [...]

