Category: Kitaifa
Waziri Ummy: Corona bado ipo
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wanapaswa kuendelea kuchukua tahadhari kuepuka kuambukizwa virusi vya corona vinavyosababishwa na ugon [...]
Mauzo ya nyama nje yapaa
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imesema ndani ya miezi sita mwaka huu Tanzania imeuza nyama tani 10,000 katika nchi za Bara la Asia na kuvunja rekodi ya mwa [...]
Raia 57 wa Kenya wanaswa katika operesheni ya Loliondo
Operesheni Maalum ya siku 10 iliyofanywa na Jeshi la Uhamiaji katika Tarafa za Sale na Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha, imewanasa watu 72 w [...]
Rais Samia akemea mila potofu
Rais Samia Suluhu Hassan, ameitaka jamii kupiga vita ubakaji pamoja na mila potofu zinazohalalisha ndoa za utotoni,.
Pia amewataka watumishi wa afy [...]
15 wafutiwa matokeo kidato cha 6
Watahiniwa 15 wamefutiwa matokeo yao ya mtihani wa kidato cha sita Mwaka 2022 kutokana na vitendo vya udanganyifu idadi ambayo imepungua kwa takriban [...]
10 bora masomo ya sayansi
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asil [...]
Twaha agonga mwamba
Kesi ya maombi madogo ya jinai inayowakabili Mwanasheria Mkuu wa Serikali, (AG), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Kamanda wa Polisi (RPC) na Mkuu wa Pol [...]
Shule 10 bora hizi hapa
Baraza la Mitihani Tanzania leo tarehe 5/07/2022 limetangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu 2022. Matokeo hayo yanapatikana kwenye t [...]
Matokeo ya kidato cha sita 2022
Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) leo Julai 5,2022 limetoa matokeo ya kidato cha sita 2022.
Kidato cha sita
[...]
Rais Samia atoa bilioni 2 Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni mbili kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katik [...]