Category: Kitaifa
Rais Samia kumteua tena Mabeyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kwamba CDF mstaafu Jenerali Venance Mabeyo, anataria kupangiwa kazi nyi [...]
Bweni la Bwiru Boys lateketea
Zaidi ya wanafunzi 70 katika shule ya wavulana ya Bwiru sekondari iliyopo manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza wamenusurika kifo baada ya bweni kuteketea [...]
Mambo yazidi kupamba moto
Huwenda ulikua mmoja ya watu waliodhani kwamba kitendo cha Mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Harmonize kutangaza kuhusu meneja wake mpya ni utani, basi f [...]
Mkuu mpya wa Majeshi ateuliwa
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha Cheo Meja Jenerali Jacob Mkunda Kuwa Jenerali na amemteua Kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi-CDF.
[...]
Mgeni rasmi siku ya Kiswahili duniani
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yatakayofanyika kitaifa Julai 07, 2022 jijini Da [...]
199 namba mpya ya huduma kwa wateja
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuujulisha Umma kuwa, katika kuboresha huduma zake za mawasiliano, unabadilisha namba ya simu bila mali [...]
Rais Samia atimiza ahadi ya bajaji kwa Clara
Lile agizo alilolitoa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan la kumpatia bajaji mjasiriamali wa lishe, Clara Sanga alilolitoa juzi kwenye maadhimisho ya miaka [...]
Matunda ya Royal Tour
Filamu ya Royal Tour pamoja na ziara za Rais Samia Suluhu Hassan nje ya nchi, zimefungua uchumi wa Tanzania kwa kuongeza uwekezaji kutoka Dola za Mare [...]
Ahukumiwa mwaka mmoja jela kwa wizi wa ndimu
Mahakama ya Wilaya Mwera imemhukumu Ramadhan Gere Shija (20) mkazi wa Bungi kutumikia Chuo cha Mafunzo kwa muda wa mwaka mmoja na kulipa faini ya Sh5, [...]