Category: Kitaifa

1 96 97 98 99 100 182 980 / 1813 POSTS
Historia ya Tanzania kuwa somo mashuleni

Historia ya Tanzania kuwa somo mashuleni

Historia ya Tanzania itaanza kufundishwa mwakani kama somo katika shule za msingi na sekondari kama alivyoagiza Rais wa awamu ya tano, Hayati John Mag [...]
Mdee na wenzake watuma barua kwa spika

Mdee na wenzake watuma barua kwa spika

Wabunge 19 wa viti maalumu waliofutiwa uanachama CHADEMA, wamewasilisha tena maombi namba 27/2022 ya kuomba kibali cha kufungua kesi ya kupinga kuvuli [...]
Meli ya sulphur za bure kwa wananchi yakifa Mtwara

Meli ya sulphur za bure kwa wananchi yakifa Mtwara

Meli ya BOSS7 iliyobeba viwatilifu aina ya Salfa ya unga tani zaidi ya elfu 5 imewasili katika Bandari ya Mtwara ikitokea Uturuki, ikiwa ni muendelezo [...]
Bajeti ya serikali 2022/23 imepita kwa 94%

Bajeti ya serikali 2022/23 imepita kwa 94%

Bajeti ya Serikali ya 2022/23 imepita kwa asilimia 94 baada ya kupigiwa kura za ndio 350. Idadi ya wabunge ilikua 380 na 379 walipiga kura.  NDIO- [...]
Kikokotoo cha zamani hakirudishwi

Kikokotoo cha zamani hakirudishwi

Serikali imesema haitarudisha kikokotoo cha zamani cha mafao ya wastaafu cha asilimia 50, kwa kuwa hakileti usawa katika ugawaji wa fedha wanazopata w [...]
Mwigulu aeleza umuhimu wa madeni nchini

Mwigulu aeleza umuhimu wa madeni nchini

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Nchemba amefafanua umuhimu wa mikopo katika nchi na kusema kila taifa lenye maendeleo lazima liwe na deni na [...]
Mabeyo asema nchi ipo salama na Rais Samia

Mabeyo asema nchi ipo salama na Rais Samia

Baada ya kulitumika jeshi kwa takribani miaka 43, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo, amefunguka mambo kadha wa kadha ku [...]
Zoezi la uwekaji mipaka Loliondo lakamilika

Zoezi la uwekaji mipaka Loliondo lakamilika

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametangaza kukamilika kwa zoezi la uwekaji wa alama za mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arush [...]
Majaliwa: Isikilizeni serikali yenu

Majaliwa: Isikilizeni serikali yenu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera, Ha [...]
Tanzania kushiriki Kombe la Dunia

Tanzania kushiriki Kombe la Dunia

Ujumbe wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Bw. Saidi Yakubu wamekutana na kuf [...]
1 96 97 98 99 100 182 980 / 1813 POSTS
error: Content is protected !!