Category: Michezo
Maana ya video ya Simba ya Fei Toto
Mchezaji wa Yanga SC , Feisal Salum maarufu kama "Fei Toto" ameweka video ya mnyama simba yenye maneno ya lugha ya kifaransa jambo lililoibua hisia to [...]
Fei toto na Simba Instagram
View this post on Instagram
A post shared by Feisal Salum Abdal [...]
TFF: Feisal bado mchezaji wa Yannga
Kamati ya Sheria na hadhi za Wachezaji ya TFF imeamua kuwa Feisal Salum Abdallah ni mchezaji halali wa Young Africans kwa mujibu wa mkataba wake na t [...]
Barua ya Feisal kwa YANGA SC
Kiungo wa klabu ya Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' ametoa taarifa ya kuachana na mabingwa hao kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram.
[...]
Simba na Casablanca, Yanga na TP Mazembe
Draw za michuano ya klabu bingwa barani Afrika pamoja na ile ya Shirikisho barani humo tayari imekwisha wekwa wazi huku vilabu vya Tanzania vikianguki [...]
Morocco yaandika historia
Timu ya Taifa ya Morocco imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea huko nchini Qatar baada ya kuifunga timu [...]
Barbara kujiuzulu Simba SC
CEO wa timu ya Simba SC, Barbara Gonzalez ameandika baarua ya kujiuzulu kwenye klabu hiyo ya wekundu wa msimbazi taarifa aliyoitoa kupitia ukurasa wak [...]
Kauli za wachezaji wa Morocco zilivyoibua hisia za Waafrika
Hivi karibuni kumeibuka mjadala miongoni mwao waafrika hasa katika mitandao ya kijamii kufuatia kauli zinazotiliwa shaka kua ni kauli za kibaguzi kwa [...]
Brazil ‘Out’ Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Brazil ambayo ndio timu inayoongozwa kwa ubora wa soka duniani kwa mujibu wa viwango vya Shirikisho la mpira duniani (FIFA), imeshind [...]
Yanga unbeaten nani kasema ?
Timu ya Yanga SC imeangukia pua baada ya kukubali kichapo cha goli 2- 1 kutoka timu ya Ihefu katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye dim [...]