Category: Michezo
Sifa 5 za kocha ambaye Simba inamuhitaji
Mabingwa wa soka Tanzania Simba, wanatarajia kumtangaza kocha wao mpya siku yoyote kuanzia Jumatatu Novemba 8,2021.
Baada ya kuachana na Mfaransa D [...]
Uchambuzi wa kina kuhusu ubora na udhaifu wa Yanga
Timu ya soka ya Yanga, imekuwa na mwenendo mzuri katika msimu huu. Baada ya kuwafunga wapinzani wao Simba kwenye mchezo wa ngao ya jamii, Yanga imeend [...]
Simba yapata pigo la viungo
Timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam imepata pigo baada ya viungo wake wawili, Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute kuripotiwa kwamba wataukosa mc [...]
Nuno Espirito afungashiwa virago Tottenham
Klabu ya Tottenham Hotspurs ya Uingereza imemtimua kocha wake mkuu, Mreno Nuno Espirito baada ya mfululizo wa matokeo mabovu katika Ligi Kuu ya Englan [...]
Kiongozi wa zamani wa Simba ahukumiwa miezi sita
Hukumu ya kesi ya viongozi wa zamani wa timu ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Evans Aveva (aliyekuwa Rais wa Simba) na Godfrey Nyage (aliyeku [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 27 (Benitez mbioni kurudi Newcastle, huku Chelsea wakipata fursa ya kumsajili de Ligt)
Klabu ya Newcastle United haijakata tamaa kumrejesha kocha wake wa zamani Rafael Benitez (61) ambaye kwa sasa anainoa Everton (Football Insider).
A [...]
Gomes atupiwa virago Simba
Klabu ya Simba imeridhia ombi la aliyekuwa Kocha Mkuu, Didier Gomes da Rosa la kuachana na timu hiyo kuanzia leo tarehe 26.10.2021
Taarifa iliyotol [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 26 (Ole Gunnar njia panda Man United, huku Christensen na Chelsea mambo bado)
Uongozi wa Manchester United unafikiria kumtimua Solskjaer kabla ya mechi ijayo Jumamosi ugenini dhidi ya Tottenham (Manchester Evening News)
[...]
Zifahamu rekodi 6 za Manchester United zilizovunjwa na Liverpool ligi kuu ya England
Kufuatia klabu ya Manchester United kupoteza mchezo wao Jumapili dhidi ya mahasimu wao wakubwa Liverpool, kwa kichapo cha goli 5-0, Liverpool imevunja [...]
Wafahamu ndugu waliowahi kucheza na wanaocheza mpira wa kulipwa Kimataifa kutoka barani Afrika
Bara la Afrika limejaaliwa kuwa na nyota wachezaji katika kandanda ambao wanafanya vyema katika soka ya kimataifa. Kuna wachezaji maarufu kama vile Ge [...]