GEITA: Vijiji 353 vina umeme, 133 mbioni kufikiwa

HomeKitaifa

GEITA: Vijiji 353 vina umeme, 133 mbioni kufikiwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua kituo cha kupokea, kupooza umeme cha Mpomvu kilichopo Mkoa wa Geita.

Akipokea taarifa ya upatikanaji wa Umeme Mhe. Rais Samia Mkoani hapo upande wa Umeme wa vijijini, Wizara ya Nishati imesema Mkoa wa Geita una jumla ya vijiji 486.

Kwenye vijiji hivyo vyenye umeme ni 353; na vijiji visivyo na umeme lakini Mkandarasi yuko saiti ni 133.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa wakati akizindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

 

error: Content is protected !!