Tag: Bunge la Tanzania
Tanzania ya pili uzalishaji wa tumbaku Afrika
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Mhe. Hussein Bashe amesema takwimu za hivi karibu zinaonyesha Tanzania imekuwa mzalishaji wa pili mkubwa wa tumbaku [...]
Mwindaji wa mamba alifuata sheria
Uchuguzi unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kib [...]

Rais Samia achangia Sh. milioni 150 ujenzi wa kanisa Machame
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakos [...]
Mtaji wa KCB Bank Kenya wapungua kwa 9% huku Tanzania ukikua 157%
Kenya Commercial Bank (KCB) imeripotiwa kupungua kwa shughuli zake nchini Kenya na ukuaji imara ukishuhudiwa katika matawi yake ya nchi nyingine ndani [...]
Romania kufadhili wanafunzi 10 wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye pamoja na mgeni wake Rais wa Romania, Klaus Iohannis wamekubaliana kutoa nafasi za ufadhili wa masomo kwa wanafu [...]
Rais wa Romania kuja nchini kwa ziara ya kitaifa
RAIS wa Romania, Klaus Iohannis, kesho November 16 hadi 19, 2023 anatarajia kufanya ziara ya Kitaifa nchini hapa kufuatia mwaliko alioupata kutoka kwa [...]
Tanzania na Zambia zasaini mikataba 8 ya ushirikiano
Tanzania na Zambia zimesaini mikataba 8 ya ushirikiano, kufuatia ziara ya kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Zambia.
Mikataba hiyo ilifuati [...]
Matukio katika picha Rais Samia Suluhu akiwa Zambia
Rais Samia Suluhu ameweka shada Mnara wa Uhuru wa Zambia na kaburi la Rais wa Kwanza wa Zambia, Dkt. Kenneth Kaunda.
Leo Zambia inaadhimisha [...]
Ziara ya Rais Samia nchini Zambia kudumisha uhusiano
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewasili Zambia kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Ziara hii inatarajiwa kuimarisha uhusiano uliopo kati [...]
Rais Samia: Viongozi simameni imara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi viongozi wa mkoa wa Singida kuhakikisha wanasimama imara katika uteke [...]

