Tag: Bunge la Tanzania
Magazeti ya leo Julai 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 15,2022.
[...]
Rais ajiuzulu
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore.
Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jum [...]
Wachezaji walioitwa kambini
Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 24, kitakachoingia kambini kwa ajili ya michezo ya kufuzu kwa [...]
Serikali yatoa tamko kuhusu ugonjwa usiofahamika
Taarifa kwa vyombo vya habari na wananchi kuhusu ugonjwa usiofahamika Mkoani Lindi
[...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
Ugonjwa mpya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekiri kuwepo kwa ugonjwa usiofahamika ambao husababisha watu kutokwa damu puani n [...]
Dar es Salaam jiji la 6 kwa usafi Afrika
Rais Samia amesema kwamba jarida la Africa Tour Magazine, limelitangaza jiji la Dar es Salaam, ni Jiji la sita kwa usafi barani Afrika, ambapo katika [...]
Aagiza shule zifunge CCTV
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amezielekeza shule zote za sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kufunga kamera za usalama (CCTV) kusaidia kubaini w [...]
Magazeti ya leo Julai 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Julai 11,2022.
[...]
Waziri wa Habari Sri Lanka ajiuzulu
Waziri wa Uchukuzi, Barabara na Vyombo vya Habari nchini Sri Lanka, Bandula Gunawardana ametangaz akujiuzulu katika nafasi hiyo ya uwaziri.
Bandula [...]

