Tag: Bunge la Tanzania

1 59 60 61 62 63 78 610 / 775 POSTS
Magazeti ya leo Mei 2,2022

Magazeti ya leo Mei 2,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Mei 2,2022. [...]
Bilionea namba moja Afrika Mashariki

Bilionea namba moja Afrika Mashariki

Tanzania imeipiku Kenya kwa kutoa mfanyabiashara bilionea katika sekta binafsi ikiwa ni kwa mujibu  wa ripoti ya mwaka 2022 iliyotolewa na Kampuni ina [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 29,2022

Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 29,2022

Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Aprili 29,2022. Husikubali kupitwa. https://www.youtube.com/watch? [...]
Tulia aonya mawaziri teuzi za mabalozi

Tulia aonya mawaziri teuzi za mabalozi

Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewasihi mawaziri kuzingatia vigezo pindi wanapochagua mabalozi wa wizara zao, na sio kuwachagua kwa sa [...]
Matumaini kero za muungano

Matumaini kero za muungano

Huku leo Aprili 26, 2022 Tanzania ikisherehekea Muungano wa Tanzania unaoundwa na Tanganyika na zanzibar, kero 18 kati ya 25 zimetatuliwa. Waziri w [...]
Agizo la Dkt. Mpango kwa Nape

Agizo la Dkt. Mpango kwa Nape

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ku [...]
Njia 5 za kuongeza matiti

Njia 5 za kuongeza matiti

Kuna baadhi ya wanawake wenye matiti madoogo wana[enda kuona matiti yao yakiwa yamekaa, mviringo na yenye mpasuko wa kutosha ili kujionyesha katika mi [...]
Rais Samia aridhia vijiji 75 kuachwa Arusha

Rais Samia aridhia vijiji 75 kuachwa Arusha

Waziri wa Wizara ya Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk Angeline Mabula  amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia vijiji 75 vilivyokuwa katika [...]
Kajala amuingiza studio Harmonize

Kajala amuingiza studio Harmonize

Baada ya kutumia mbinu mbalimbali ili kuweza kumrudisha Kajala katika maisha yake, msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama [...]
Nauli mpya za mabasi

Nauli mpya za mabasi

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe amesema mchakato wa kukusanya maoni kuhusu nauli mpya za mabasi y [...]
1 59 60 61 62 63 78 610 / 775 POSTS
error: Content is protected !!