Tag: habari kubwa za michezo
Magazeti ya leo Jumamosi, Oktoba 16, 2021
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za Magazeti ya Tanzania leo Jumamosi, Oktoba 16, 2021
[...]
Clatous Chama, Fei Toto, Mukoko Tonombe, John Bocco uso kwa uso Oktoba 21
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa tuzo za msimu wa 2020/21 zitakazotolewa na Shirikisho hilo zitatolewa Oktoba 21, 2021, kw [...]

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 14 (Phoden agomea mkataba mpya, huku Rabiot njia nyeupe kujiunga Newcastle)
Kiungo wa kati wa Juventus Adrien Rabiot (26) anahusishwa kuwa moja ya wachezaji wanaowindwa na Newcastle United, taarifa kutoka Juventus zinasema kwa [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 13 (Chamberlain mbioni kurudi Arsenal, Man City ikimnyatia Haaland)
Klabu ya Liverpool ipo tayari kumuuza kiungo wake Oxlade-Chamberlain (28), kwa bei stahiki huku kukiwa na taarifa zinazomhusisha kurudi Arsenal (Mirro [...]
Mambo 5 muhimu ya kufanya kabla ya kulala
1. Panga mambo ya siku ifuatayo
Kabla ya kulala, tumia dakika tano au kumi kupitia mipango yako. Andika orodha ya mambo yote unayoyahitaji kuyaanya, [...]
Chad yapata msamaha wa FIFA
Baada ya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuifungia timu ya taifa ya Chad kutokana na serikali ya nchi hiyo kuingilia ufanyaji kazi wa FIFA kwenye nc [...]

Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 12 (Lacazette mbioni kuachana na Arsenal, huku safari ya Hazard kurudi Chelsea imepamba moto)
Klabu ya Liverpool inamfuatilia kwa karibu winga wa Barcelona Ousmane Dembele, 24. Mkataba wa mchezaji huyo wa unamalizika mwisho wa msimu huu (Mundo [...]
Serikali yasitisha mfumo mpya wa ukusanyaji ada za maegesho
Kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu changamoto zinazojitokeza wakati wa ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari kwa kutumia mfumo wa kielektroni [...]
Tetesi za Soka Ulaya leo Oktoba 09 (Kane na Mbappe Newcastle, huku Van de Beek akielekea Barcelona)
Mshambuliaji wa zamani wa Newcastle Demba Ba 36, amejitolea kuichezea klabu hiyo mpaka pale atakapostaafu baada ya klabu hiyo kuuzwa (Star).
Meneja [...]
Majibu ya Mbwana Samatta baada ya Taifa Stars kufungwa
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta amesema kuwa wapinzani wao timu ya Taifa Benin, walikuwa vizuri kwenye ulinzi ndio [...]

