Tag: habari kubwa za michezo

1 22 23 24 25 26 123 240 / 1222 POSTS
Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa

Vyombo vya habari 1,123 nchini vimesajiliwa

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye leo katika kikao kazi cha Maafisa Habari, Mawa [...]
Mdee: Watendaji wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua

Mdee: Watendaji wanaokiuka sheria wachukuliwe hatua

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Ofisi ya Rais –TAMISEMI kufanya uchunguzi na kuchukua hatua kwa watendaji wat [...]
Waziri Ummy: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg

Waziri Ummy: Hakuna wagonjwa wapya wa Marburg

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia jana tarehe 25 Machi, 2023 hakuna wagonjwa wapya wa Marburg walioripotiwa licha ya kupokea tetesi se [...]
Rais Samia chanzo cha ongezeko la uwekezaji nchini

Rais Samia chanzo cha ongezeko la uwekezaji nchini

Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa taarifa kuhusu mwenendo wa hali ya uwekezaji nchini katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais wa a [...]
Rais Samia na Waziri Majaliwa wanunua tiketi 4000 mechi ya Taifa Stars

Rais Samia na Waziri Majaliwa wanunua tiketi 4000 mechi ya Taifa Stars

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wametoa tiketi 4,000, kwa ajili ya mashabiki kuingia [...]
Magazeti ya leo Machi 23,2023

Magazeti ya leo Machi 23,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Machi 23,2023. [...]
Magazeti ya leo Machi 22,2023

Magazeti ya leo Machi 22,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Machi 22,2023. [...]
Tanzania yapeleka helikopta mbili za msaada Malawi

Tanzania yapeleka helikopta mbili za msaada Malawi

Serikali ya Tanzania imetuma helikopta mbili nchini Malawi zenye msaada wa vifaa, chakula pamoja na fedha Dola milioni moja (Sh. bil. 2.3) taslimu kwa [...]
Magazeti ya leo Machi 21,2023

Magazeti ya leo Machi 21,2023

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Machi 21,2023. [...]
Serikali kuendelea na maboresho ya sekta ya afya

Serikali kuendelea na maboresho ya sekta ya afya

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kununa vifaa vya matibabu ili huduma nyingi za kitabibu au matabibu bingwa zitolewe [...]
1 22 23 24 25 26 123 240 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!