Tag: habari kubwa za michezo
Oman kujenga Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro
Hatimaye ziara ya siku tatu nchini Oman iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan imeanza kuzaa matunda baada ya Viwanja vya ndege Muscat kutia saini ya [...]
Nyani waua mtoto mchanga
Kundi la nyani wa hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wak [...]
Umuhimu wa uwekaji mipaka Loliondo
Wataalamu wa wanyamapori katika Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Afrika (Mweka) wamepongeza uamuzi wa serikali kuweka mipaka ya eneo la Pori Tengefu [...]
Viongozi 10 Ngorongoro kutojulikana walipo
Wakati Serikali ikisema uwekaji mipaka katika pori la Loliondo unaendelea vizuri, Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ameendelea kulalamika kut [...]
Milioni 100 ukimpata huyu mchina
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dar es salaam linamtafuta mtuhumiwa, Zheng Lingyao (42) Raia wa China, Mkazi wa Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma kumuua Nannan, [...]
Ushuru Daraja la Tanzanite
Serikali imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Draja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka za Kibaha-Mlandizi - C [...]
Dereva alifariki kabla basi kupinduka
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, George Kyando amesema dereva wa basi la Kampuni ya Zuberi, Hamza Haule, alifariki kabla ya basi hilo halijaanguka [...]
Bajeti ya Zanzibar raha
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha mapendekezo ya bajeti kwa mwaka 2022/23 ya Sh2.5 trilioni huku ikitarajia kuanza kuwalipa mi [...]
Amuua rafiki yake baada ya kumnyima pombe
Polisi Kaunti ya Kirinyanga nchini Kenya, inamshikilia mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Wycliff Kinyua (26) kwa tuhuma za kumuua rafiki yake A [...]
Magazeti ye leo Juni 15,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Juni 15,2022.
[...]

