Tag: habari kubwa za michezo
Matumaini kero za muungano
Huku leo Aprili 26, 2022 Tanzania ikisherehekea Muungano wa Tanzania unaoundwa na Tanganyika na zanzibar, kero 18 kati ya 25 zimetatuliwa.
Waziri w [...]
Nauli 700
Bei ya nauli ya bajaji za kuchangia mkoani Mbeya zimepanda hadi kufikia 700 baada ya bei hiyo kudumu kwa miaka tisa sasa.
Akizungumza na Nipashe, M [...]
Agizo la Dkt. Mpango kwa Nape
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ku [...]
Umoja Party wamlilia Rais Samia
Uongozi wa Chama cha Umoja Party umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuingilia kati kuhakikisha wanapata haki yao ya usajili katika Ofisi za Msajili w [...]
Viwango vya kubadili fedha Aprili 26, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 25,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 25,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch [...]
Spider Man wa Nigeria amkubali wa Tanzania
Ni siku chache tangu aanze kuonekana kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam na kwenye mitandao ya kijamii mchekeshaji kutoka Tanzania, Jackie maarufu k [...]
Youtube ya Diamond Platnumz yafutwa
Ikiwa ni siku mbili tangu kudukuliwa kwa akaunti ya Youtube ya msanii Diamond Platnmuz, leo Jumatatu Aprili 25,2022 akaunti hiyo imefutwa katika mtand [...]
Ratiba mazishi ya Mwai Kibaki
Mwili wa aliyewahi kuwa Rais wa awamu ya tatu wa Kenya, Emilio Mwai Kibaki umewasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kuagwa, leo mwili huo utaag [...]
UVCCM yawakingia kifua bodaboda
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Kihongosi amesema chama kinawaonya viongozi wanaosababisha usumbufu kwa madereva [...]

