Tag: habari kubwa za michezo

1 97 98 99 100 101 123 990 / 1222 POSTS
Malkia Elizabeth II aelezea alivyotandikwa na UVIKO

Malkia Elizabeth II aelezea alivyotandikwa na UVIKO

Malkia wa Uingereza, Elizabeth II ameelezea aliyopitia alipougua Uviko-19 kwa njia ya mtandao wakati wa Uzinduzi wa "Queen Elizabeth Unit" katika Hosp [...]
WAKE: Tuna haki ya kwenda Dubai kama michepuko

WAKE: Tuna haki ya kwenda Dubai kama michepuko

Kikundi cha wanawake jijini Kampala wamefanya maandamano asubuhi hii ya leo tarehe 11 mwezi Aprili wakishinikiza wanaume zao kuwaongezea kiwango cha p [...]
Wananchi Ngorongoro wakubali kuhama

Wananchi Ngorongoro wakubali kuhama

Wananchi wanaoishi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamesema kupata haki miliki ya nyumba ndani ya mamlaka hiyo ni ndoto hivyo ni vema kuhamia en [...]
Magazeti ya leo Aprili 11,2022

Magazeti ya leo Aprili 11,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Aprili 11, 2022. [...]
TMDA: Marufuku sigara hadharani

TMDA: Marufuku sigara hadharani

Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema ni kosa kisheria kuvuta sigara hadharani au kwenye maeneo ya mikusanyiko na atakayebainika kufanya hivyo [...]
50 Cent: Mmefanyia vibaya Will Smith

50 Cent: Mmefanyia vibaya Will Smith

Rapa kutoka nchini Marekani Curtis James Jackson III maarufu kama 5O cent amemkingia kifua Muigizaji Will Smith kutokana na adhabu aliyopewa kwa kusem [...]
Mambo 5 ya kufanya wikiendi

Mambo 5 ya kufanya wikiendi

Baada ya kufanya kazi kwa muda wa siku tano mfululizo, watu wengine hupenda kupumzika siku ya jumamosi na jumapili ili kuondoa uchovu wa wiki nzima. [...]
Miriam Odemba: Kajala akamatwe

Miriam Odemba: Kajala akamatwe

Mwanamitindo na Mshindi wa taji la Miss East Africa 1998, Miriam Odemba amemkingia kifua Harmonize na kuwaomba Watanzania na polisi kuingilia kati sua [...]
Nauli kutoka 450 mpaka 900

Nauli kutoka 450 mpaka 900

Wadau wa Sekta ya Usafiri Ardhini (Latra) imependekeza kupanda kwa nauli kutoka 450 mpaka 900 kwa kila kilomita ambapo Mamlaka ya uthibiti wa Usafiri [...]
Rais Samia aibuka kinara

Rais Samia aibuka kinara

Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa mshindi wa tuzo ya Babacar Ndiaye kwa mwaka 2022 baada ya viongozi na watu mashuhuri kutambua mchango wake katika [...]
1 97 98 99 100 101 123 990 / 1222 POSTS
error: Content is protected !!