Tag: habari magazetini

1 49 50 51 52 53 99 510 / 989 POSTS
Magazeti ya leo Julai 14,2022

Magazeti ya leo Julai 14,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Julai 14,2022. [...]
Mwongozo wa kuomba mikopo

Mwongozo wa kuomba mikopo

Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo. [...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania

Bingwa kuingiza watalii Tanzania

Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
Fahamu sababu za kutokwa na damu puani

Fahamu sababu za kutokwa na damu puani

Kutokwa na damu puani ni hali inayotokea watu wengi hasa wakati wa utoto na uzee. Damu hii hutoa kwenye kuta za ndani za pua. Kuta hizi zimejaa miship [...]
Ugonjwa mpya Tanzania

Ugonjwa mpya Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekiri kuwepo kwa ugonjwa usiofahamika ambao husababisha watu kutokwa damu puani n [...]
Dar es Salaam jiji la 6 kwa usafi Afrika

Dar es Salaam jiji la 6 kwa usafi Afrika

Rais Samia amesema kwamba jarida la Africa Tour Magazine, limelitangaza jiji la Dar es Salaam, ni Jiji la sita kwa usafi barani Afrika, ambapo katika [...]
Pacha mmoja afariki

Pacha mmoja afariki

Pacha mmoja kati ya waliotenganishwa  Julai Mosi mwaka huu (Rehema na Neema) katika Hospitali ya Muhimbili amefariki dunia baada ya hali yake kubadili [...]
Waziri Mkuu asimamisha kazi watumishi 9

Waziri Mkuu asimamisha kazi watumishi 9

Waziri Mkuu wa, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri na watumishi wengine tisa wa jij [...]
Aagiza shule zifunge CCTV

Aagiza shule zifunge CCTV

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amezielekeza shule zote za sekondari ndani ya Jiji la Dodoma kufunga kamera za usalama (CCTV) kusaidia kubaini w [...]
Harmonize amkimbiza Burna Boy

Harmonize amkimbiza Burna Boy

Katika albumu ya Burna Boy iliyotoka rasmi jana Julai 8,2022, hapo hapo aliachia Video ya kwanza kutoka katika Album hiyo. Video ya FOR MY HAND, Wimbo [...]
1 49 50 51 52 53 99 510 / 989 POSTS
error: Content is protected !!