Tag: habari magazetini
Majaliwa: bei zishuke
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa muhimu kutopandisha bei za vitu kiholela bila utaratibu na hatua kali k [...]
Harmonize, Diamond watofautiana
Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize ametofautiana kimawazo na aliyewahi kuwa msimamizi wake kutoka lebo ya Wa [...]
Musukuma ajiuzulu
Mbunge wa Geita Vijijini ambaye pia ni Balozi wa Mazingira anayewakilisha Bunge, Joseph Kasheku (Musukuma) amejiuzulu ubalozi wa mazingira kufuatia ri [...]
Lil Nas abadilika baada ya Grammy’s
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, lil Nas X amesema anaacha na ushoga rasmi baada ya kushindwa kupata tuzo yoyote siku ya ugawaji wa tuzo za Grammy. [...]
Fahamu haya kabla yaa kurekodi video za utupu
Hivi karibuni video za utupu za watu zimekuwa zikivuja sana kwenye mitandao ya kijamii , huku swali kubwa likiwa ni kwanini wamejirekodi badala ya kwa [...]
Aliyeandika barua kuacha shule arejea
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya SEkondari Msimbati, Taufiq Hamisi (15) ambaye aliandika barua ya kuacha shule kutokana na ugumu wa mai [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 4,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri kwenye mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 4,2022, husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch [...]
Wezi wakutwa wakiiba Daraja la Tanzanite
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili wakidaiwa kujaribu, kukata baadhi ya vyuma vya ngazi ya nguzo kwenye daraja l [...]
Maofisa ugani kuvaa gwanda
Wakili wa Kilimo Hussein Bashe amesema maofisa ugani wote nchini wataanza kuvaa unifomu na serikali itakuwa ikitoa mavazi mawili kila mwaka.
Amesem [...]

