Tag: habari za burudani
Zuchu amshtaki Ostaz Juma TCRA
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii kutoka lebo ya Wasafi ameweka wazi kwamba amemshtaki Ostaz Juma, TCRA baada ya kumdhihaki na kuongea maneno [...]
Rais Samia azidi kuwawezesha wanawake na vijana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kutoa msaada wa kutosha kwa wajasiriamali wanawake na vijan [...]
Uber na Bolt kurejesha huduma
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafir [...]
Bima ya afya kwa wote
Rais Samia Suluhu amesema mkutano wa Bunge utakaoanza kesho, pamoja na mambo mengine, utapitia na kupitisha Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote [...]
Magazeti ya leo Septemba 12,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Septemba 12,2022.
[...]
Nguo 5 za kuvutia zaidi za Malkia Elizabeth II
Malkia Elizabeth alikuwa mfalme wa mitindo na darasa kwa watu wengi. Zaidi ya miaka 70 ya utawala wake amekuwa akionekana kwenye mitindo mbalimbali ya [...]
10 Septemba siku ya kuzuia kujiua
Nchini Marekani, mwezi Septemba ni maalum kuhakikisha unazuia mtu kujiua kwani wanaamini tunaishi katika nyakati ngumu hivyo mtu anaweza kuchukua maam [...]
Maambukizi ya Uviko-19 yapungua nchini
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini imepungua kutokana na hatua mbalimbali zinazochukuliwa kudhibiti [...]
Hatua atakazo fanya Mfalme Charles III
Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth, Mkuu wa zamani wa Wales, Charles, amerithi kiti cha ufalme bila sherehe yoyote. Hata hivyo, kuna idadi ya hatua za [...]
Watanzania milioni 5.5 ni mbumbumbu
Wakati dunia leo akiadhimisha siku ya Kimataifa ya Kusoma na Kuandika, Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (Unesco) limesema [...]

