Tag: habari za kimataifa
Viwango vya kubadili fedha Mei 7, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Ashtakiwa kwa wizi wa mbegu za kiume
Mahakama moja magharibi mwa Ujerumani ilimpata mwanamke mmoja na hatia ya unyanyasaji wa kijinsia na kumpa kifungo cha nje cha miezi sita kwa kuharibu [...]
TCRA waifungia video ya ‘Mtasubiri”
Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu ya "Mtasubiri sana' baada ya kupata taarifa kutoka Ba [...]
Sabaya aachiwa
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzie wawili wameshinda rufaa waliyokata kupinga adhabu ya miaka 30 jela na kuachiwa huru.
M [...]
Msemaji mpya wa Ikulu
Karine Jean-Pierre atakuwa katibu wa habari ajaye wa Ikulu ya White House, utawala wa Biden umetangaza, huku Jen Psaki akijiuzulu kutoka wadhifa huo w [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 6, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania. [...]
Bunge lampa Makamba siku 6
Wabunge wameitaka serikali kuja na mkakati wa dharura wa kunusuru kupanda kwa bei ya mafuta, huku wengine wao wakitaka kupunguzwa kwa baadhi ya tozo k [...]
Magazeti ya leo Mei 6,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Mei 6,2022.
[...]
Unakipenda kifo zaidi ya unavyodhani
"Enjoy! Maisha ni mafupi" kamsemo wanachoambiwa vijana wengi bila kujua ukubwa wake na namna unavyoweza kugharimu maisha yao.
Utasikia Jamilla anas [...]
Vijana wamvamia bibi, wamng’oa ndonya
Vijana wanne katika kijiji cha Namangale walikamwatwa kwa kosa la kumvamia bibi kizee mwenye umri wa miaka 83 na kumng’oa ndonya yake mdomoni kwa leng [...]