Tag: habari za kimataifa
Faida 5 za juisi ya miwa
Hali ya hewa ya joto sana na yenye unyevunyevu inaweza kusababisha matatizo makubwa ya afya, kama vile uchovu wa joto na kiharusi cha joto, na pia kud [...]
Aruhusu wanaodaiwa ada kufanya mitihani
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson ameielekeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kutoa tamko la wanafunzi wa vyuo [...]
Ajinyonga kisa ujumbe wa ‘Tuma kwenye namba hii’
Amos Tofiri (29), mkazi wa kijiji cha Lukunguni,mkoani Morogoro amejinyonga kutokana na deni la Sh 400,000 alizokopa na akazituma kwa mtu aliyemtumia [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 13, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]
Tanzania na Jamaica kuimarisha ushirikiano
Serikali ya Tanzania na Jamaica zimeahidi kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za utalii, biashara na uwekezaji pamoja na elimu kwa masla [...]
Diamond kununua ‘Jet’ 2022
Msanii Diamond Platnumz amewaambia mashabiki wake kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ana mpango wa kununua 'Private Jet' yaani ndege binafsi k [...]
Raba ya Milioni 4
Kwa wale wapenzi wa fasheni na bidhaa zenye majina watakuwa wameisikia sana Balenciaga kampuni ambayo inatengeneza bidhaa za fasheni za kisasa na za g [...]
Bara la Ulaya na uhaba wa mafuta
Wakati Bara la Ulaya likikumbwa na uhaba wa mafuta ya mawese, nchi ya Malaysia inajipanga kurejesha soko hilo baada ya wanunuzi kukwepa kununua bidhaa [...]
Rihanna kufungua duka Kenya
Mwanamuziki na mfanyabiashara, Robyn Rihanna Fenty maarufu kama 'Rihanna' ametangaza kufungua maduka ya vipodozi vyake vya Fenty Beauty katika nchi sa [...]
Viwango vya kubadili fedha Mei 12, 2022
Fahamu viwango elekezi vya kubadili fedha za kigeni nchini Tanzania leo kulingana na maelekezo ya Benki Kuu ya Tanzania.
[...]

