Tag: habari za kimataifa
Wananchi Ngorongoro wakubali kuhama
Wananchi wanaoishi ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamesema kupata haki miliki ya nyumba ndani ya mamlaka hiyo ni ndoto hivyo ni vema kuhamia en [...]
Magazeti ya leo Aprili 11,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Aprili 11, 2022.
[...]

50 Cent: Mmefanyia vibaya Will Smith
Rapa kutoka nchini Marekani Curtis James Jackson III maarufu kama 5O cent amemkingia kifua Muigizaji Will Smith kutokana na adhabu aliyopewa kwa kusem [...]
Magazeti ya leo Aprili 10,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumapili Aprili 10,2022.
[...]
Faida 5 za kujamiiana asubuhi
Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya y [...]
Jada: Sikutaka kuolewa na Will
Baada ya Will Smith kufungiwa kushiriki Tuzo za Oscars kwa miaka kumi kwa kuonekana kuchukulia 'serious' utani wa mchekeshaji Chris Rock kuhusu mke wa [...]
Oscars: Smith afungiwa miaka 10
Tuzo za Academy maarufu kama (Oscars) zimemfungia muigizaji maarufu wa nchi hiyo Will Smith kutokushiriki tuzo hizo kwa kipindi cha miaka kumi ijayo k [...]
Aliyeimba ‘Ekwueme’ afariki dunia
Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili kutoka Nigeria aitwaye Sis Osinachi Nwachukwu maarufu kwa wimbo wake "Ekwueme" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka [...]
Magazeti ya leo Aprili 9,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Aprili 9,2022.
[...]
Hii hapa Ramani mpya ya EAC
Rais Uhuru Kenyatta, Paul Kagame na Yoweri Museveni wa Kenya, Rwanda na Uganda mtawalia, leo Aprili 6, wamezindua ramani mpya ya Jumuiya Afrika Mashar [...]