Tag: habari za kimataifa
Mwaka Mmoja bila Magufuli
Leo Watanzannia wanaadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Dk John Joseph Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17, 2021, hu [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Machi 16,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Machi 16,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch?v=njxSViO [...]
Mike Tyson na Bangi za pipi
Mwanamasumbwi kutoka nchini Marekani Mike Tyson amezindua aina mpya za bangi za pipi ambazo zipo kwenye umbo la sikio la binadamu alizozipa jina la 'M [...]
Mwanamke: Zingatia haya kabla ya kunyoa
Kunyoa kipara kwa mwanamke ni uamuzi wa kijasiri sana kwani inafahamika kwamba nywele ni moja ya urembo kwa mwanamke yoyote yule.
Lakini inabidi ut [...]
Hali ya Watanzania waliopo Ukraine
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa Watanzania wote waliokuwa wamekwama nchini Ukraine ku [...]
Mange Kimambi apata pigo
Zaidi ya wafanyakazi 10 wa Mange Kimambi app wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao kutokana na video iliyowekwa kwenye mtanda [...]
Mtoto wa kigogo afariki akimuokoa mpenzi wake
Juan Carlos Escotet Alviarez mtoto wa bilionea wa Uhispania Juan Carlos Escotet Rodriguez amefariki dunia katika jitihada za kuokoa maisha ya mkewe mt [...]
Ujumbe wa Samia Kwa Polepole
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wawili kati ya tano aliowateua jana Machi 15 ambao ni Bw. Humph [...]
Kenya na Tanzania zaondoa vikwazo 56 vya kibiashara
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo vingine 10 vya kibiashara na kutimiza jumla ya vikwazo vilivyoondolewa kufikia 56 baada y [...]
EAC yatahadharisha magonjwa ya mlipuko
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imezitaka nchi za wanachama wake kuongeza kasi ya kuzuia na kukabiliana na magonjwa ya mlipuko katika kipindi cha mv [...]