Tag: habari za kimataifa
Ataka kujiua kisa matokeo ya kidato cha nne
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Zanzibar amenusurika kifo baada ya kunywa mafuta ya Taa January 15 mwaka huu baada ya kupata matokeo mabaya ya k [...]
Mahakama yaja na teknolojia ya akili bandia
Akizungumzia kuhusu wiki ya siku ya sheria na siku ya Sheria, Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amesema kuwa, ili kuhakikisha mhimili wa Ma [...]
Mrithi wa panya Magawa apatikana
Baada ya kifo cha panya Magawa hatimaye mrithi wake amepatikana anafahamika kwa jina la Renin ambapo taarifa zinasema tayari yupo nchini Cambodia kuen [...]
Mfahamu John Okello aliyeshiriki Mapinduzi ya Zanzibar
John Gideon Okello ni raia wa Uganda aliyeshiriki katika Mapinduzi yaliyoitoa Zanzibar kutoka kwenye minyororo ya utawala wa Waarabu.
Alizaliwa mw [...]

‘Wagonga wanafunzi’ wafungiwa kamera
Baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya wanafunzi kugongwa na magari na kupoteza maisha katika Barabara kuu ya Dodoma - Dar es Salaam, Halmashauri ya Chamw [...]
Mpoto alia na waimba “amapiano” Tanzania
Mshairi nguli kutoka nchini Tanzania Mrisho Mpoto maarufu kwa jina la ‘Mjomba’ amefunguka na kuweka wazi kwamba anasikitishwa na namna baadhi ya wasan [...]
Pepsi na Coca Cola zaadimika mtaani
Baadhi ya wafanyabiashara jiji Dar es Salaam wamesema kwamba soda zinazotengenezwa na kampuni za Pepsi na Coca Cola zimeadimika kwa muda sasa tangu D [...]
Mbaroni kwa kutaka kuuza ardhi ya Rais wa Kenya
Watu wanne wamewekwa kizuizini na mahakama ya Nairobi kwa shutuma za kupanga njama za kuuza ardhi ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta huko Karen nchini h [...]
NIDA yawasihi wananchi kufuata vitambulisho vyao
Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imewataka wale wote ambao bado hawajachukua vitambulisho vyao kwenda kwenye ofisi husika na kuchukua kwani [...]
KFC Kenya kuanza kuuza ugali baada ya kuishiwa viazi vya ‘chipsi’
Mwanzoni mwa mwaka 2022 KFC Kenya ilipata changamoto ya kuishiwa kwa viazi wanavyotumia kuandaa ‘chipsi’ na kufanya wengi kujiuliza kwanini wanashindw [...]

