Tag: habari za kimataifa

1 50 51 52 53 54 171 520 / 1707 POSTS
Magazeti ya leo Novemba 21,2022

Magazeti ya leo Novemba 21,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Novemba 21,2022. [...]
Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa Bil.209

Ujerumani yaipatia Tanzania msaada wa Bil.209

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Ujerumani wameipata Tanzania msaada wa Shilingi bilioni 209,746,204,779.00 kwa ajili ya masua [...]
Magazeti ya leo Novemba 18,2022

Magazeti ya leo Novemba 18,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Novemba 18,2022. [...]
Mbunge Lugangira: Ndege ilishindwa kutua Uwanja wa Bukoba

Mbunge Lugangira: Ndege ilishindwa kutua Uwanja wa Bukoba

Mbunge wa Vita maalumu , Neema Lugangira ameiomba serikali kuchukua hatua katika maboresho ya uwanja wa ndege Bukoba. Kupitia ukurasa wake wa Insta [...]
Dar yaongoza kuwa na wagonjwa wa mabusha na matende

Dar yaongoza kuwa na wagonjwa wa mabusha na matende

Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele (NTDPC) mwaka jana mkoani Dar es Sal [...]
Kocha wa Simba na wenzake 9 wadakwa na dawa za kulevya kilo 34.89

Kocha wa Simba na wenzake 9 wadakwa na dawa za kulevya kilo 34.89

Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Muharami Said Mohamed (40) wa wenzake tisa wamekamatwa na kilo 34.89 za dawa za kulevya aina ya Heroin kwa mujibu w [...]
Amuua kikatili na kisha kumla nyama

Amuua kikatili na kisha kumla nyama

Mkazi wa Kitongoji cha Chang’ombe, Kijiji cha Kaloleni wilayani Songwe, Berta Shugha (69) ameuawa kikatili na mwili wake kukatwa vipande vipande huku [...]
CHADEMA: Tumechoka mtu wetu kuwa mkimbizi

CHADEMA: Tumechoka mtu wetu kuwa mkimbizi

Chama cha Demokrasia (CHADEMA) mkoa wa Singida kimesema kimechoka kumwona Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu akiishi ughaibuni kama mkimbiz [...]
Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

Helikopta kutua Mlima Kilimanjaro

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imesema imeridhishwa na miundombinu ya utalii ikiwemo viwanja vya kutua helikopta katika Hifad [...]
Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho

Watahiniwa 566,840 kidato cha nne kuanza mtihani kesho

Jumla ya watahiniwa 566,840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne utakaoanza kesho Novemba 14, 2022 Tanzania Bara na Zanzibar. Kaimu Mtend [...]
1 50 51 52 53 54 171 520 / 1707 POSTS
error: Content is protected !!