Tag: habari za kimataifa
Mradi wa gesi LPG kuanza mwaka huu
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema mradi wa kuchakata gesi asilia mita za ujazo bilioni 4.6 na bidhaa nyingine ya gesi ya kupikia (LPG), unata [...]
Rais Samia atoa bilioni 2.7 kwa ajili ya tiba asili
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sh. Bilioni 2.7 ili zitumike kufanya utafiti katika sekta ya tiba asili nchini.
Taarifa ya kutolewa kwa fedha hizo [...]
Rais Samia ashinda tuzo 2
Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 202 [...]
Mgombea ajinadi kuwa na nguvu za kiume
Mgombea wa nafasi ya mjumbe wa halmashauri ya CCM wilaya ya Dodoma amewavunja mbavu wajumbe wa mkutano mkuu wa wilaya baada ya kuwaomba wamchague kwa [...]
Polisi Kenya wanamsaka Mtanzania aliyemuua mwenzake kisa ugali
Polisi nchini Kenya wanamtafuta kijana wa Kitanzania anayedaiwa kumua mwenzake wakigombani bakuli la ugali.
Kamanda wa Polisi Kaunti ya Narok, Kizi [...]
Mapato ya utalii yazidi kupaa
Mapato yanayotokana na utalii yameongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 (z [...]
Waziri Makamba awahakikishia ushirikiano mzuri Equinor
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, pamoja na Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic, Mhe. Grace Olotu na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mhe [...]
Royal Tour Tanzania yazinduliwa nchini Sweden
Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake uliopo Sweden imezindua filamu ya Royal Tour jijini Stockholm kwa lengo la kuwavutia watalii kutembelea vivu [...]
Rais Samia ameagiza watoto waishio mazingira magumu kusaidiwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.Dkt. [...]
Magazeti ya leo Septemba 30,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Septemba 30,2022.
[...]