Tag: habari za kimataifa
Kaoneka: aliyepigwa anakuwa tajiri, mimi najisikiaje?
Mwanamasumbwi Shabani Kaoneka amesikitishwa na kitendo cha Karim Mandonga kupewa nafasi kubwa kwenye vyombo vya habari na kupata madili ya matangazo m [...]
Bei ya mbolea yashuka baada ya ruzuku ya Serikali
Huenda maadhimisho ya Nane Nane ya mwaka huu yatawapatia wakulima matumaini mapya katika msimu mpya wa kilimo baada ya Serikali kuzindua mpango wa ruz [...]
Chuo cha VETA kujengwa Rungwe
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi ya Hekari 20 kwa ajili ya kuan [...]
Alilipwa hela kamili
Mapromota wa tamasha alilopaswa kutumbuiza msanii Kizz Daniel, Big Step Consultancy wamesema walimlipa mwanamuziki huyo hela kamili licha ya kugoma ku [...]
Kizz Daniel akamatwa
Staa wa muziki kutoka Nigeria @kizzdaniel amekamatwa na Polisi nchini Tanzania baada ya kugoma kutumbuiza kwenye Show licha ya kulipwa pesa nyingi.
[...]
Waomba radhi kutoonekana kwa Kizz Daniel
Kampuni ya inayohusika na uandaaji wa matamasha ya Str8up Vibes imeomba radhi kwa mashabiki baada ya msanii kutoka nchi Nigeria, Kizz Daniel kushindwa [...]
Kutoonekana kwa Kizz Daniel, chanzo ni begi la nguo
Sababu zilizopelekea Kizz Daniel kutokupanda kwenye jukwaa la Summer ambalo huandaliwa na kampuni ya Sre8vibes kutoka nchini Tanzania zinadaiwa kuwa n [...]
Rais Samia chanzo cha ongezeko la mapato
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Innocent Bashungwa amesema kumekuwa na ongezeko la ukusanyaji wa mapato katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kufu [...]
Rais Samia anavyomaliza tatizo la maji nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mba [...]