Tag: Historia
Vivutio vinne (4) vya utalii visivyokuwa na kiingilio Dar
Maana ya utalii ni kutoka na kutembelea sehemu fulani aidha kwa kujifunza au kustarehe tu. Kila mtu ana aina ya vivutio anavyopenda kutembela, wapo wa [...]
Historia: Huu ndio upande wa Kariakoo usioujua
Labda nikuulize, ni picha gani hukujia kichwani mwako usikiapo neno kariakoo? Kwangu mimi ni msongamano wa watu lukuki, msururu wa biashara ndogo, kub [...]
Leo katika Historia: Dakta Fathi Shiqaqi, Katibu Mkuu wa Jihadi ya Islami anauawa
Tarehe kama ya leo mwaka 1995 afisa wa shirika la ujasusi la Israel Mossad walifanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Katibu Mkuu wa zamani wa Harakati ya J [...]
Leo katika Historia: Mchoraji mashuhuri Pablo Picasso anazaliwa
Siku kama ya leo mwaka 1881, alizaliwa Pablo Picasso mchoraji mashuhuri wa Hispania. Picasso alikuwa mwasisi wa harakati za Cubist ambazo zilienea kwa [...]
Leo katika historia: Biblia ya kwanza inachapishwa
Siku kama ya leo mwaka 1957: Umoja wa Jamhuri ya Kisovieti (USSR) walirusha Satelaiti ya kwanza angani kwa utaratibu huo zama za udhibiti wa anga zika [...]
Leo katika historia: Hitler na Churchill waingia kwenye mgogoro
1. Tarehe kama ya leo mwaka 1934 kimbunga kikali kilikumba Kisiwa cha Honshu, nchini Japan na kuua zaidi ya watu 4,000. Japan inaongoza kwa kukumbwa n [...]
Leo katika historia
Mwaka 1810: Chile ilipata uhuru wake kutoka Hispania iliyoitawala nchi hiyo tangu karne ya 16. Chile ina eneo la kilomita za mraba 4,300 katika mwamba [...]
Ifahamu ‘CV’ ya January Makamba
January Yusuph Makamba alizaliwa tarehe 28, Januari, 1974, akiwa mtoto wa kwanza wa Mzee Yusuf Makamba na mkewe Josephine.
Alipata elimu ya msingi [...]
Madiwani wataka kondomu ziongezwe
Suala la kuadimika kwa mipira ya kiume (kondomu) limezua mjadala mkali kwenye Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, ambapo Madiwani [...]
Askofu Gwajima, Jerry Silaa waadhibiwa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia azimio la Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kuwasimamisha kudhuria mikutano miwili wab [...]