Tag: juma jux

1 8 9 10 11 12 57 100 / 564 POSTS
Mauzo ya nyama nje yaongezeka

Mauzo ya nyama nje yaongezeka

Mauzo ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 15 mwaka jana yalifikia tani 5,158.93 sawa na ongezeko la asilimia 21.7 ikilinganishwa n [...]
Zaidi ya watainiwa 270 wafutiwa matokeo darasa la nne, kidato cha pili

Zaidi ya watainiwa 270 wafutiwa matokeo darasa la nne, kidato cha pili

Udanganyifu katika vyumba vya mitihani umewaponza watahiniwa 279 wa kidato cha pili na darasa la nne mwaka jana kutokana na Baraza la Mitihani Tanzani [...]
Rais Samia: Hakuna atakayekosa shule

Rais Samia: Hakuna atakayekosa shule

Wakati shule za msingi na sekdnoari nchini zikitarajiwa kufunguliwa Jamatatu ijayo, Rais Samia Suluhu amesema hakuna mwanafunzi atakayekosa nafasi ya [...]
Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA

Asimilia 99 ya lengo yakusanywa na TRA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 12.46 kati ya Julai hadi Desemba 2022, sawa na 99% ya lengo la kukusanya TZS trilioni 12.48. [...]
Fahamu jinsi ya kuepuka maumivu ya Januari 2023

Fahamu jinsi ya kuepuka maumivu ya Januari 2023

‘Njaanuari’ ndivyo ambavyo baadhi ya watu huuita Januari ambao kwa mujibu wa kalenda ndiyo mwezi wa kwanza wa mwaka. Jina hilo linaashiria machungu y [...]
Majizzo apinga mtazamo wa Hando kuhusu mikopo ya serikali

Majizzo apinga mtazamo wa Hando kuhusu mikopo ya serikali

Mkurugenzi wa EFM na TVE, Francis Ciza "Majizzo" amepinga mtazamo wa mtangazaji wa EFM redio, Gerald Hando kuhusu namna ambavyo serikali imekua ikichu [...]
Top 6 Watanzania waliong’ara 2022

Top 6 Watanzania waliong’ara 2022

Kama hatua za binadamu zinavyopishana pale atembeapo  ndivyo maisha ya binadamu yalivyo. Wakati mmoja akienda mbele mmoja hubaki nyuma na Waswahili wa [...]
Sangara wapungua Ziwa Victoria

Sangara wapungua Ziwa Victoria

Samaki aina ya sangara wamepungua katika Ziwa Victoria kutoka tani 537,479 mwaka 2020 hadi tani 335,170 kwa mwaka 2021. Ofisa Uvuvi wa Mkoa wa Mwan [...]
Tanzania 10 bora nchi tajiri Afrika 2022

Tanzania 10 bora nchi tajiri Afrika 2022

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inashika namba 9 kwenye orodha ya nchi 10 tajiri kwa mujibu wa ripoti ya mtandao wa Zoom Afrika kwa mwaka 2022, Tanza [...]
Ujenzi wa reli Tabora- Kigoma waiva

Ujenzi wa reli Tabora- Kigoma waiva

Kipande cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34. Reli hiyo ambayo mkataba [...]
1 8 9 10 11 12 57 100 / 564 POSTS
error: Content is protected !!