Tag: juma jux
Karani akutwa amelewa Musoma
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujaribu kukwamisha Sensa ya Watu na Makazi mjini Musoma.
Mratibu wa Sensa wa Manispaa ya Musoma, [...]
Fahamu makao makuu ya kuku Tanzania
Ni rasmi sasa Mkoa wa Tabora ndiyo unaoongoza kwa kuzalisha kuku wengi zaidi wa kienyeji Tanzania baada ya takwimu mpya kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwi [...]
Alichokiomba mtoto wa Simbachawene kwa hakimu
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, imemhukumu James Chawene (24), mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbacha [...]
Dickson (37) atuhumiwa kumnajisi mtoto wa miaka 15
Polisi mkoani Katavi inamshikilia Ofisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, Dickson Mwenda (37), kwa tuhuma za kunajisi mtoto wa miaka 1 [...]
Opereshi kukamata mifuko ya plastiki kuanza Agosti 29
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameelekeza operesheni ya kukamata Mifuko ya plastiki iliyokatazwa kuanza rasmi Jumatatu ya August 29 k [...]
Askari aliyempiga virungu kijana achukuliwa hatua
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyessha kijana mmoja aliyefungwa pingu na kupigwa virungu [...]
Mrema kuzikwa Alhamisi Agosti 25,2022 Moshi
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP,Agustino Mrema anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Agosti 25 katika kijiji cha Kilalacha mkoani Kilimanjaro.
Maziko [...]
Maswali utakayoulizwa siku ya Sensa
Ifuatayo ni orodha ya maswali 100 ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.
[...]
Mtoto wa Simbachawene asota mahabusu
Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, amesema bado wanamshikilia mtoto wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simb [...]
TRC yaomba nauli iongezeke kwa 15%
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA-CCC), limesema limepokea maombi ya ongezeko la nauli za treni kwa asilimia 15 kwa k [...]