Tag: juma jux

1 24 25 26 27 28 57 260 / 564 POSTS
Fahamu madhara ya kukaa kwenye kiti muda mrefu

Fahamu madhara ya kukaa kwenye kiti muda mrefu

Wafanyakazi wanaokaa kwenye viti muda mrefu ofisini, wapo hatarini kuvimba miguu kutokana na kubana mishipa ya damu. Wanashauriwa kujenga tabia ya [...]
Magazeti ya leo Julai 16,2022

Magazeti ya leo Julai 16,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumamosi Julai 16,2022. [...]
Magazeti ya leo Julai 15,2022

Magazeti ya leo Julai 15,2022

Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 15,2022. [...]
Rais ajiuzulu

Rais ajiuzulu

Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaska amejiuzulu rasmi leo alhamisi Julai 14,2022 akiwa Singapore. Rais huyo aliamua kukimbia nchi yake siku ya Jum [...]
Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha

Uwoya : natafuta mtu wa kunichekesha

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania Irene Uwoya, ametangaza ajira kwa mtu yeyote mchekeshaji atayekuwa na jukumu la kumchekesha muda wote. Kupitia [...]
Mkanda wa Nelson Mandela waibiwa

Mkanda wa Nelson Mandela waibiwa

Polisi wa Afrika Kusini wameanzisha msako wa kuwasaka washukiwa walioiba mkanda wa ndondi uliotolewa kwa Nelson Mandela na bingwa wa Marekani Sugar Ra [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wadaiwa kodi ya ardhi

Rais Samia atoa msamaha kwa wadaiwa kodi ya ardhi

Serikali imetangaza masamaha wa kodi kwa wadaiwa sugu wa ardhi zikiwemo taasisi za dini na mashirika kulipa madeni yao bila riba katika kipindi cha mi [...]
Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo

Rais wa Sri Lanka kujiuzulu leo

Spika wa Bunge nchi Sri Lanka ametangaza kwamba Rais wa Nchi hiyo atajiuzulu leo Julai 13, 2022 baada ya kutuma barua. Akizungumza na waandishi wa [...]
Mwongozo wa kuomba mikopo

Mwongozo wa kuomba mikopo

Bodi ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imefungua dirisha la mikopo kwa wanafunzi kwa mwaka 2022/23 na kutoa mwongozo wa namna ya kuomba mikopo. [...]
Bingwa kuingiza watalii Tanzania

Bingwa kuingiza watalii Tanzania

Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoin [...]
1 24 25 26 27 28 57 260 / 564 POSTS
error: Content is protected !!