Tag: juma jux
Mambo 5 yanayoweza kukukosesha furaha
Furaha ni kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu lakini watu wengi tumekua tukijisahahu na kufanya mambo yanayotuondolea furaha maishani.
Unaw [...]
Ya Harmonize yamkuta Miriam Odemba
Mwanamitindo kutoka nchini Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Ufaransa, Miriam Odemba anazidi kuonyesha mapenzi yake kwa msanii kutoka lebo ya Konde Gan [...]
Ushauri wa Jahazi kwa Harmonize
Watangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa kwenye redio ya Clouds, Mussa Hussein, George Bantu na Captain Gardner Habash wamempa ushauri msanii H [...]
Harmonize hakati tamaa
Harmonize bado anazidi kuonyesha kutokata tamaa ya kumpata aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja na sasa amemnunulia cheni za dhahabu zenye thama [...]
Diamond amwaga sifa kwa Rais Samia
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amesema Rais Samia Suluhu ni kiongozi mzalendo na mwenye huruma na wan [...]
Maelezo juu ya kupanda kwa bei za mafuta
Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.
Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea [...]
Fahamu haya kabla yaa kurekodi video za utupu
Hivi karibuni video za utupu za watu zimekuwa zikivuja sana kwenye mitandao ya kijamii , huku swali kubwa likiwa ni kwanini wamejirekodi badala ya kwa [...]
Muliro: marufuku Daraja la Tanzanite
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi hilo limepiga marufuku kwa mtu asiyehusika kufika chini ya Daraja hilo kuto [...]
TID: ndomaana staki
Msanii wa Bongo Fleva nchini, Khalid Mohamed maarufu kama TID ameonyesha kuchukizwa na kitendo cha waandaji wa Tuzo za Muziki Tanzania kumualika kweny [...]